Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
Kipindi nasoma A level nilikua na pisi yangu ya kishua hataki kabisa mambo ya lodge yeye labda hotelAlaf kweli kuna wanawake hawapendi kabisa habari za Lodge
Nadhani alikua ana mentality kwamba Lodge ni kama hizi guest bubu za uchochoroni wakati kuna Lodge kali kinyama tena ghorofani[emoji28]
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app