Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chonde chonde. Nina mifano hai inayopimua. Nyie kama ni wasomi (na ninajua ni wasomi.) Msije kuishia kuwa wapuuzi kwa watu mnaowaona hawana elimu.Komaa sasa me uwa nafua mwenyewe kama sina hela na kama sina nguo nyingi chafu lakin upande wa shuka majirani tu wanadeal nazo.
Asante kwa ushauri kaka ila me nina watu wawil tu naowapa wanifulie alaf suala la kupikiwa me ata dem wangu akija ghetto siruhusu anipikie maana uwa simwamini mtu tangu aniforce nipeleke barua kwao.Chonde chonde. Nina mifano hai inayopimua. Nyie kama ni wasomi (na ninajua ni wasomi.) Msije kuishia kuwa wapuuzi kwa watu mnaowaona hawana elimu.
Hawa wadada wanaojidai wana hali ngumu kimaisha huwa washenzi sana. Kuna jiran yangu ni mtumish wa serikali anafuliwa na kupikiwa na wadada wa kimakonde wamezaa wanaishi kwao. Sasa steve mwaka jana akataka kuoa maana pesa anayo. Ohooo.
Inaonekana hao wa kitaa walala hoi walimlengesha mke mtarajiwa kwamba steve anachepuka akaja mfumania story ikaisha ili waendelee kumfulia kumpikia na kumwibia. Ila kumshawishi awaoe imeshindikana hata kwa ndumba.
Yan inafika mahala mpaka unaona kweli duniani hakuna mjinga wala mjanja.
Anawaachia funguo wanaangalia Tv kwenye makoch na watt zao. Yan sijui kwa kweli. Hilo geto ni chumba na sebule wanalipa 150k kwa mwezi. Mwaka jana alikuwa ananunua sanduku za kutosha za bia. Analewaaa. Na washkaji na wao wakiangalia mpira akazidisha akaenda nyumbani. Akarudi naona halewi tena.
Chungeni hao walala hoi wanaojipiishia huko mtaani kuwapa nguo sensitive wawafulie na kuwapikia. Manaweza geuka misukule yao pasipo kujua.
Si bora ununue washing machinePeleka dry cleaner
Ni sh elfu 2 tu kwa 1pc
Kuna chuchu konzi hazitaki kwenda lodge zenyewe ni ghettoBwana mambk ya kuingia lodge wengine hatutaki tunataka chobingoz
Aise upo kama mimi...manzi yeyote akija gheto mm ndio nazama jikoni mwenywe ..mwanaume hajisifiii kupika ila huwa tukimaliza kula utasikia mmmh chakula kitamu upo vzuri nammwambia sio kupika tuAsante kwa ushauri kaka ila me nina watu wawil tu naowapa wanifulie alaf suala la kupikiwa me ata dem wangu akija ghetto siruhusu anipikie maana uwa simwamini mtu tangu aniforce nipeleke barua kwao.
Madem wengine ukiruhusu wakupikie umeisha maana naamin chakula ndo njia rahisi ya kumpumbaza mtuAise upo kama mimi...manzi yeyote akija gheto mm ndio nazama jikoni mwenywe ..mwanaume hajisifiii kupika ila huwa tukimaliza kula utasikia mmmh chakula kitamu upo vzuri nammwambia sio kupika tu
Umefosiwa upeleke baruaAsante kwa ushauri kaka ila me nina watu wawil tu naowapa wanifulie alaf suala la kupikiwa me ata dem wangu akija ghetto siruhusu anipikie maana uwa simwamini mtu tangu aniforce nipeleke barua kwao.
Yeah amenforceUmefosiwa upeleke barua
Si upeleke mzee.anaona kama unamchezea iv.Yeah amenforce
Sio kama sitaki lakin nikimwambia tukafanye full body check up ananizungusha na mimi naona hayupo tayari acha nimchezee tu. Maana siwezi mpelekea barua wakati hakiwa hayupo tayariSi upeleke mzee.anaona kama unamchezea iv.
Checkup wakat unaendelea kula vitu unataka ukachek nn??Sio kama sitaki lakin nikimwambia tukafanye full body check up ananizungusha na mimi naona hayupo tayari acha nimchezee tu. Maana siwezi mpelekea barua wakati hakiwa hayupo tayari
Natumia kingaCheckup wakat unaendelea kula vitu unataka ukachek nn??
Body check up.Sio kama sitaki lakin nikimwambia tukafanye full body check up ananizungusha na mimi naona hayupo tayari acha nimchezee tu. Maana siwezi mpelekea barua wakati hakiwa hayupo tayari
Inategemea unataka cha material gani na uko wapiKitanda Cha 5 kwa 6 wazee wangu ni shs ngapi?
Nikuambie kitu???Olewa wewe...kuna mwenzio leo kazabuliwa makofi eti anakataa kuolewa mke wa pili....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanataka company tu kwako mfue wote,,,,,,,kuishi nyumbe yenye yaidi ya watu wawili ni kerooNyumba za kupanga wengi+ wenye nyumba wakiwepo apoapo kuna kero moja siipendi sana ipo hivi.
Kuna sisi uwa siku za kazi zote tunachelewa kurudi maybe saa1 usiku na kuendelea sasa unakuta umejipangia utafua weekend sasa maajab yanajitokeza ata wale wanaoshinda siku za kazi home nawao wanatoa nguo zao kufua ubaya zaidi wanafua minguo kibao kiasi kwamba kamba zote zinajaa inabidi tena mimi Jumatatu niamke saa12 nianze kufua aseee hii kero inanikaba sana koo natamani nimchane maza haus maana nayeye ni mmoja wapo na binti yake,na kuna mke wa mtu mmoja nae anatabia hizi za ajab, Wanashindwa kabisa kujiongeza.
Huku mchele unaanzia kilo 2700, super 3000.