Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
Tatizo lingine ninalopata ni geti la kutokea unakuta limefungwa unagonga weeh watu hawasikii au unakuta hawapo[emoji28]aya ya nyumba za kupanga ni continuos problems
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
Leo nilipeleka baadhi ya vitu nikakuta geti limefungwa nikagongaa lakini hamna majibu...mbaya zaidi madirishi nyumba nzima ni ya vioo watu wakijifungua kwenye Tinted utagonga geti mpaka utubu[emoji28]
Nilichofanya leo ni kuruka ukuta na kufungua geti na kuingiza vitu vyangu ndani[emoji28]
Yani bado sijahamia lakini nishaanza kupata misuko suko[emoji28]