Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

[emoji28]aya ya nyumba za kupanga ni continuos problems

Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
Tatizo lingine ninalopata ni geti la kutokea unakuta limefungwa unagonga weeh watu hawasikii au unakuta hawapo

Leo nilipeleka baadhi ya vitu nikakuta geti limefungwa nikagongaa lakini hamna majibu...mbaya zaidi madirishi nyumba nzima ni ya vioo watu wakijifungua kwenye Tinted utagonga geti mpaka utubu[emoji28]

Nilichofanya leo ni kuruka ukuta na kufungua geti na kuingiza vitu vyangu ndani[emoji28]

Yani bado sijahamia lakini nishaanza kupata misuko suko[emoji28]
 
Mungu ni mwema mwaka wapili chuoni nikanunua kimjengo changu kikiwa kimeisha ujenz woote na nikaishi na wapangaj wangu wawili . Sjawah kupanga na nyumba yangu nyumbani kwetu waliifaham baada ya kumaliza chuo
Hongera sana aisee
 
niko kijiji fulani. nimepata geto la elfu 30 kwa mwezi. Nyumba ni zile mijengo ya kizamani. vyumba viwili.
-ni self
-kina boiler kama nyumba zile za wazungu
-chumba cha kulala ni kikubwa ni kikubwa naweza weka pia seti ya sofa na kisijae.
 
Wapi hiyo mkuu
 
Tatizo lingine ninalopata ni geti la kutokea unakuta limefungwa unagonga weeh watu hawasikii au unakuta hawapo

Leo nilipeleka baadhi ya vitu nikakuta geti limefungwa nikagongaa lakini hamna majibu...mbaya zaidi madirishi nyumba nzima ni ya vioo watu wakijifungua kwenye Tinted utagonga geti mpaka utubu[emoji28]

Nilichofanya leo ni kuruka ukuta na kufungua geti na kuingiza vitu vyangu ndani[emoji28]

Yani bado sijahamia lakini nishaanza kupata misuko suko[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]fanya upate namba ya mpangaji mmoja kwa dharula kama hizo,

Apo shukuru unapokaa fensi ipo vizuri kurukika nilipo mimi ukimaliza kuruka fensi unapaswa uruke na bati kama Chinese movie vile maana muundo wa nyumba huwezi kwepa ilo kuna siku mpangaji mwenzetu kalala nje kama mlinzi asubuh naenda mihangaikoni nafungua geti nae uyu apa akanielezea ikabid nimpe namba maana me sinaga mambo mengi saa4 tu ndani kama mfugo.

Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
 
niko kijiji fulani. nimepata geto la elfu 30 kwa mwezi. Nyumba ni zile mijengo ya kizamani. vyumba viwili.
-ni self
-kina boiler kama nyumba zile za wazungu
-chumba cha kulala ni kikubwa ni kikubwa naweza weka pia seti ya sofa na kisijae.
Safi kijana ila usilete mambo ya kispartacus kwenye nyumba za watu vijijini wazee wanapenda heshima

Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]fanya upate namba ya mpangaji mmoja kwa dharula kama hizo,

Apo shukuru unapokaa fensi ipo vizuri kurukika nilipo mimi ukimaliza kuruka fensi unapaswa uruke na bati kama Chinese movie vile maana muundo wa nyumba huwezi kwepa ilo kuna siku mpangaji mwenzetu kalala nje kama mlinzi asubuh naenda mihangaikoni nafungua geti nae uyu apa akanielezea ikabid nimpe namba maana me sinaga mambo mengi saa4 tu ndani kama mfugo.

Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
Sema huyo jamaa yenu alilala nje dah nmecheka [emoji23]

Kwenye hii nyumba namba ninayo ya jamaa mmoja...nilichukua namba yake siku ya kwanza kabisa nilivoenda kukagua chumba

Nilimpigia sema hakuwepo akaniambia wanatumiaga vijiti vya mishikaki kuchokonoa geti[emoji28]

Nilitafuta vijiti ila sikupata ikabidi nigeuke ninja tu niruke

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Tatizo lingine ninalopata ni geti la kutokea unakuta limefungwa unagonga weeh watu hawasikii au unakuta hawapo

Leo nilipeleka baadhi ya vitu nikakuta geti limefungwa nikagongaa lakini hamna majibu...mbaya zaidi madirishi nyumba nzima ni ya vioo watu wakijifungua kwenye Tinted utagonga geti mpaka utubu[emoji28]

Nilichofanya leo ni kuruka ukuta na kufungua geti na kuingiza vitu vyangu ndani[emoji28]

Yani bado sijahamia lakini nishaanza kupata misuko suko[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mnachekesha mnoooo.
 
Sema huyo jamaa yenu alilala nje dah nmecheka [emoji23]

Kwenye hii nyumba namba ninayo ya jamaa mmoja...nilichukua namba yake siku ya kwanza kabisa nilivoenda kukagua chumba

Nilimpigia sema hakuwepo akaniambia wanatumiaga vijiti vya mishikaki kuchokonoa geti[emoji28]

Nilitafuta vijiti ila sikupata ikabidi nigeuke ninja tu niruke

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23]iyo ya kuchokonoa na stick nafanya sana home kwa Faza mzazi nilipopanga wanatia komeo kabisa alaf dirisha Aluminium

Back
Top Bottom