Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
Tatizo lingine ninalopata ni geti la kutokea unakuta limefungwa unagonga weeh watu hawasikii au unakuta hawapo[emoji28]aya ya nyumba za kupanga ni continuos problems
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
Nikikuta kamba zimejaa Nitaanika kwenye fenceKhaaaaaah sasa mbna mateso hayaa, uwiiiiiih
HahahahhahahaKwa nini mnakataaa nyie wakati dini inaruhusu? Mbona mnakuwa wakaidi nyie wanawake? Mnatutafhtia dhambi tuu waume zenu
Hongera sana aiseeMungu ni mwema mwaka wapili chuoni nikanunua kimjengo changu kikiwa kimeisha ujenz woote na nikaishi na wapangaj wangu wawili . Sjawah kupanga na nyumba yangu nyumbani kwetu waliifaham baada ya kumaliza chuo
Ndiyo shida tupuKero kubwa sana hasa kama mkiwa hamjaelimika kifikra na kiakili
Hapana,dini umelala hapa,,Hujashika dini vizuri wewe
Mzima mamie, maendeleo yako?D,,,u mzima???
Mimi sijaoa njoo nikuoe😊Hapana,dini umelala hapa,,
I'm salafiyyun.
Wapi hiyo mkuuniko kijiji fulani. nimepata geto la elfu 30 kwa mwezi. Nyumba ni zile mijengo ya kizamani. vyumba viwili.
-ni self
-kina boiler kama nyumba zile za wazungu
-chumba cha kulala ni kikubwa ni kikubwa naweza weka pia seti ya sofa na kisijae.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]fanya upate namba ya mpangaji mmoja kwa dharula kama hizo,Tatizo lingine ninalopata ni geti la kutokea unakuta limefungwa unagonga weeh watu hawasikii au unakuta hawapo
Leo nilipeleka baadhi ya vitu nikakuta geti limefungwa nikagongaa lakini hamna majibu...mbaya zaidi madirishi nyumba nzima ni ya vioo watu wakijifungua kwenye Tinted utagonga geti mpaka utubu[emoji28]
Nilichofanya leo ni kuruka ukuta na kufungua geti na kuingiza vitu vyangu ndani[emoji28]
Yani bado sijahamia lakini nishaanza kupata misuko suko[emoji28]
[emoji16][emoji28][emoji23]Unataka kumaanisha mahari ikalipe VICOBAHahahah mwambie anitafute mwezi wa nne nataka kufanya marejesho kwenye vicoba[emoji125][emoji125]
Safi kijana ila usilete mambo ya kispartacus kwenye nyumba za watu vijijini wazee wanapenda heshimaniko kijiji fulani. nimepata geto la elfu 30 kwa mwezi. Nyumba ni zile mijengo ya kizamani. vyumba viwili.
-ni self
-kina boiler kama nyumba zile za wazungu
-chumba cha kulala ni kikubwa ni kikubwa naweza weka pia seti ya sofa na kisijae.
Noma sananiko kijiji fulani. nimepata geto la elfu 30 kwa mwezi. Nyumba ni zile mijengo ya kizamani. vyumba viwili.
-ni self
-kina boiler kama nyumba zile za wazungu
-chumba cha kulala ni kikubwa ni kikubwa naweza weka pia seti ya sofa na kisijae.
Sema huyo jamaa yenu alilala nje dah nmecheka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]fanya upate namba ya mpangaji mmoja kwa dharula kama hizo,
Apo shukuru unapokaa fensi ipo vizuri kurukika nilipo mimi ukimaliza kuruka fensi unapaswa uruke na bati kama Chinese movie vile maana muundo wa nyumba huwezi kwepa ilo kuna siku mpangaji mwenzetu kalala nje kama mlinzi asubuh naenda mihangaikoni nafungua geti nae uyu apa akanielezea ikabid nimpe namba maana me sinaga mambo mengi saa4 tu ndani kama mfugo.
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mnachekesha mnoooo.Tatizo lingine ninalopata ni geti la kutokea unakuta limefungwa unagonga weeh watu hawasikii au unakuta hawapo
Leo nilipeleka baadhi ya vitu nikakuta geti limefungwa nikagongaa lakini hamna majibu...mbaya zaidi madirishi nyumba nzima ni ya vioo watu wakijifungua kwenye Tinted utagonga geti mpaka utubu[emoji28]
Nilichofanya leo ni kuruka ukuta na kufungua geti na kuingiza vitu vyangu ndani[emoji28]
Yani bado sijahamia lakini nishaanza kupata misuko suko[emoji28]
Inabidi nichongeshe funguo tu ya geti [emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mnachekesha mnoooo.
[emoji23][emoji23]iyo ya kuchokonoa na stick nafanya sana home kwa Faza mzazi nilipopanga wanatia komeo kabisa alaf dirisha AluminiumSema huyo jamaa yenu alilala nje dah nmecheka [emoji23]
Kwenye hii nyumba namba ninayo ya jamaa mmoja...nilichukua namba yake siku ya kwanza kabisa nilivoenda kukagua chumba
Nilimpigia sema hakuwepo akaniambia wanatumiaga vijiti vya mishikaki kuchokonoa geti[emoji28]
Nilitafuta vijiti ila sikupata ikabidi nigeuke ninja tu niruke
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app