Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
Embu nielekeze unachokonoaje[emoji28][emoji23][emoji23]iyo ya kuchokonoa na stick nafanya sana home kwa Faza mzazi nilipopanga wanatia komeo kabisa alaf dirisha Aluminium
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji16]kuna kiuwazi fulani hivi katikati kwenye geti unakuta kile sijui kikomeo kinaingia sasa kile ndo inabidi utumie stick mbili au aidha kisu unafanya kukirudisha upande tofauti na tobo lake unafanya hvyo uku unasukuma get mdogomdogo
Dah inabidi nitumie hayo maujuzi nisije nikalazwa nje[emoji16][emoji16]kuna kiuwazi fulani hivi katikati kwenye geti unakuta kile sijui kikomeo kinaingia sasa kile ndo inabidi utumie stick mbili au aidha kisu unafanya kukirudisha upande tofauti na tobo lake unafanya hvyo uku unasukuma get mdogomdogo
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
Dah mwamba umetisha[emoji28][emoji28]Gheto langu la kwanza nilikuwa nalipa kodi elfu 15 tu nilikuwa na kitanda na Godoro mzee lile gheto lilikuwa limesheheni kimtindi kipindi hicho nina kazi yangu Mjini. nilikuwa nimepanga jiran na bar yaani ukuta wa gheto alngu na bar zimepakana kwa kuwa ni mnywaji nilitafuta eneo la aina hiyo
Kazi yangu ilikuwa inanikutanisha na watu wengi sana hasa wanawake warembo lile gheto liligeuka kama Guset ama lodge maana mademu niliwatafunia hapo wa kila aina watoto wa shule ndio kabisa yani, wa mtaani hadi kuna lishangazi lilikuwa chumba cha mbele likaingia Mkenge japo alikuwa ameolewa naye akawa anahudhuria ghetoni kila anapopata nafasi.
Mwisho wa siku Nilikuja gongea mtoto wa shule kula gheto usiku wakati anatoka hivi kumbe watu walikuwa wameshaniwekea mtego mmke, walichoksea tu walikuwa wanatusubiri kwenye geti nilichofanya nilibeba kale katot mgongoni nikapanda nako ukuta tukafanikiwa kutoka.
Jamaa wamesubir had saa tano usiku kimya wakaja wakagonga kimya, wakavunja mlango hawajanikuta kumbe nishatoka niko Bra ya jirani hapo nakunywa zangu Valuu.
Wale jamaa wakapita wakanikuta wakanibana nikagoma kabisa salama na kale kademu kalinikana kabisa japo alitembezewa kipigo heavy
Matukio ni mengi ila hayo ndio maisha yangu ya mwanzo ya Gheto
KhaaaahInabidi nichongeshe funguo tu ya geti [emoji28][emoji28]
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Dah pole mwana vipi Bajaj unaweza kulaza 50000Wanangu wa gheto! Mimi nimepoteza dira ya maisha tayari
Nimepata ajali ya bajaj.
Bajaj yenyewe ilikuwa ya mkopo ina bima kubwa nimelipa hela miezi sita tu
Sasa sijui kama ikipona ntapewa au mkataba wangu utaishia hapo.
Sio kwa Dom hapo anapata ka chumba ka kawaidaMbona Kodi kubwa boss,
Mimi kwa siku lazima nipate 50000/= lazima hiyo ni hela ambayo sina presha nayo! Ila 70 80 mpaka laki kawaida kwa siku za weekend huku kigamboni!Dah pole mwana vipi Bajaj unaweza kulaza 50000
Shilingi ngapi roomNenda maeneo ya chuo cha mipango
Ulizia kwa mbunge kishimba
Ni sehemu nzuri usalama wa kutosha,
Ndani ya fensi maji 24/7
Umeme kila chumba na submetter yake
Halafu pamekaa unyama sana
Dah kujiunga ni ngapi na unafanya kama Tex au ni kubeba abiria wa jero au buku , na Bajaj ya m4 si inakuwa bado nzima nzimaMimi kwa siku lazima nipate 50000/= lazima hiyo ni hela ambayo sina presha nayo! Ila 70 80 mpaka laki kawaida kwa siku za weekend huku kigamboni!
iringaWapi hiyo mkuu
Safi kijana ila usilete mambo ya kispartacus kwenye nyumba za watu vijijini wazee wanapenda heshima
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
Hawa hawa wa jero jero.Dah kujiunga ni ngapi na unafanya kama Tex au ni kubeba abiria wa jero au buku , na Bajaj ya m4 si inakuwa bado nzima nzima
Unaenda kukopa benki au kwa wahindiHawa hawa wa jero jero.
Kununua bajaj kwa mtu kwa 4m bora ukakope mpya
BankUnaenda kukopa benki au kwa wahindi
Nitakucheki nikiwa freshBank
Tuma namba yako Pm nikuelekeze
Kudadadeki..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti ukakabeba mgongoniGheto langu la kwanza nilikuwa nalipa kodi elfu 15 tu nilikuwa na kitanda na Godoro mzee lile gheto lilikuwa limesheheni kimtindi kipindi hicho nina kazi yangu Mjini. nilikuwa nimepanga jiran na bar yaani ukuta wa gheto alngu na bar zimepakana kwa kuwa ni mnywaji nilitafuta eneo la aina hiyo