Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Daaaah nimekumbukaa mbali sana nimemaliza chuo 2015 nimesota mno 2016 nikajilipua nikatoka home kigambon mpaka tabata cna kaz uzur nilikuwa nakila kitu kuanzia godoro kitanda fen redio tv chumba 70k nikalipa six month pesa niliomba nikabakia na laki hiv piga mishe kitaa na laki ikakata maisha yakawa magum sana nikawa nafanya kaz yyte iliyopo mbele yangu nimebeba tofali nimeuza sabun lkn wap baada ya miez mitano nikarudisha mpira kwa kipa nikaenda home nikakaa miez mitano nikasepa tena nikaona nihame mkoa mpaka sasa niko arusha mi siiti gheto naita nyumba sahiv nipo nishazoea.
bado unaishi geto mkuu?
 
Wakuu ni wapi nitafute chumba ili niwe nafika kwa urahisi City Center(esp Kisutu)

Kuna ambao wameniambia Kigamboni, Wengine Magomeni.

Na chumba( chenye choo ndani) kwa eneo hilo nitapata kwa bei gani?
 
Wakuu ni wapi nitafute chumba ili niwe nafika kwa urahisi City Center(esp Kisutu)

Kuna ambao wameniambia Kigamboni, Wengine Magomeni.

Na chumba( chenye choo ndani) kwa eneo hilo nitapata kwa bei gani?
Sinza,Magomeni,Makumbusho,Kigogo,Ilala ,mwananyamala,Kinondoni kote uko unawahi kufika town gari moja tu

Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
 
Getto la Elon Musk.
FB_IMG_1681409012422.jpg
 
Back
Top Bottom