Merchante
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 1,365
- 2,842
Hilo pipe likiziba amini lipo jingine la kukupa riziki. Kabla ya hiyo kazi lazima kuna kazi ulikua unafanya,so amini kwamba utapata nyingine kama hilo pipe likiziba.Wanangu wa gheto! Mimi nimepoteza dira ya maisha tayari
Nimepata ajali ya bajaj.
Bajaj yenyewe ilikuwa ya mkopo ina bima kubwa nimelipa hela miezi sita tu
Sasa sijui kama ikipona ntapewa au mkataba wangu utaishia hapo.
Hakuna kukata tamaa,pambana mpaka kiwakeee,sifa ya mwanaume ni kupambana haswaa! No matter what!![emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]