Hakika mim imekatika kam 1mGeto nimeanza Kukaa baada ya Kufika chuo mwaka wa Pili....!! Kuanza kununua vitu ni gharama Sana aiseee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika mim imekatika kam 1mGeto nimeanza Kukaa baada ya Kufika chuo mwaka wa Pili....!! Kuanza kununua vitu ni gharama Sana aiseee
Daah we jamaaa umetisha sana mwanangu...yani hapo saiz uko zako free...huwazi wala niniDaaahh uu uzi ulinihamasisha niingie magetoni, saiv naishi gheto nna kama miez 5 hivi ila pako pOa voz tuko wapangaji wote ni mabachela tu. ila ndo vile vitu vingi sina c unajua mwanzo mgumuView attachment 1175214
Samahan hatujatandika [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nakumbuka mwaka jana niliaga nyumbani kua natak kusepa nikatafte maisha
Mzee Akanambi hakun kuondoka hapa had nione assets zako
Dah nkasem poa....
Miezi miwili mbele nkapata kaz... Nje kidogo ya mji basi ndo naishi hapa
Changamoto ni kupika na kufua tu[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1175222View attachment 1175223
Na vitu ulivyonunua huvioni[emoji23][emoji23][emoji23]Hakika mim imekatika kam 1m
Acha kabsaNa vitu ulivyonunua huvioni[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu bila Shaka hukulala peke yako [emoji16][emoji16]Samahan hatujatandika [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1175227
Wakuu mambo vipi,,Leo naomba tufanye kushare kila mtu jinsi alivyo chomoka Nyumbani kwao..Hii itatoa hamasa kwa wale waliokua nyumbani na kuogopa kuhama na kuanza kujitegemea.
Janga hili linawakumba wana vyuo wengi,unakuta mtu anamalza chuo akiwa labda ana 25 then anarud nyumbani ,mbaya zaid anasubir kazi..alaf kazi zenyew haijulkani utapata lini.
Hii inapelekea wana wengi kua na fear ya kuchomoka home...Kiukwel hali ya kukaa hom inakata sana..Mzee unakuta anachomoka anakuachia mikazi flani hivi howcome.
Ukija upande wa MMU ndio mambo yanakua sio mambo...mtoto anataka aje kukusalmia unaona soo kwasababu upo nyumbani..inakata sana hii
Tukija kwenye maisha ya kujituma tu..sometime unakosa hamasa ya kupambana kwasababu ugali wa bure,unalala bure,kila kitu bure..hii inakua ngumu kuwaza kwa mapana ili kuanza kukamilisha dream zako..
Pia inakata sana..pale wanao unakuta wapo na mageto yao..lakin wewe kwako ni tofauti.
Sasa naomba kila mmoja aseme alichomokaje home na kuanza kukomaa na maisha..Achilia changamoto zake kikubwa hapa ni kusepa kwa maza..
##Mimi binafsi geto nilianza kukaa soon nilivyoingia chuo,,,nakumbuka nilipata room ya elf 50 nikaanza nayo kibish,nikanunua bed ya 150, 5 kwa 6,nikatafuta feni tu ya elf 35..si unajua joto la dar..nikaingia k.koo nikavuta subwoofer ya elf 75 tu...geto bila mziki sio geto ni choo,kujichek mfukoni boom likawa lishakata...basi nikaendelea kuishi geto hadi namalza chuo geto likawa limesheheni tu...
sasa baada ya kumalza chuo. Ndio nikarudi hom..ujinga niliofanya ni kurud hom na baadhi ya vitu niliviuza...Kasheshe ndio ipo saiz..wakuu hom akili inalala,,vibe yote hakuna ,hapa ndio najichanga nichomoke tena nirud geto nianze kupambana..hop ndan ya huu mwaka nitakua nishasepa hom kwa mara nyingine.
Sasa share kitu basi nawewe..
#Nini lilikusukuma usepe home?
#Kitu gani kilikupa mzuka wa kuanza kukaa geto?
#Vipi ulianza kukaa geto ukiwa na kazi au kibishi tu?
#Maisha yalkuaje since day one?
#Je ulienjoy uamuzi wako wa kusepa home?
#ulianza kununa vitu gani vya msingi na kuanza kuishi geto
#Una lipi la kuwaambia wana walioko home hadi leo wakiogopa kukaa geto kisa hawana ajira bado?
Karibuni wakuu..
View attachment 878774
Hahah dah pole sana mkuuNgoja nisimulie kidogo
Nilipopata kazi nje kidogo ya mji...... Huko nlikokua nnaenda palikua na ndugu yangu nkampgia kua nakuja uko ntaomba hifadh ya mwezi mmja kwako... Akasema poa karibu sana...... Dah asiniambia kua kaowa na yeye anakachumba kamoja.. Juma tatu yake nkasepa home mazima kuanza safari
Dah kufuka uko nkareport kituo cha kazi...... Kufika kwa huyo ndugu yangu akawakaniombea kwa(juma) jamaa mmja hivi niwe nalala kwake sababu jamaa hana mambo mengi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16](nadhan mmeelewa) .. Jamaa kiroho safi kakubari... Kwahyo Kula nkawa nakura kwa ndugu huyo ila kulala ndo kwa jamaa siku zingine ilinibidi kununua chakura(mke wa ndugu yangu yaani shemeji alikua mkaksi kishenzi dah mkali anakalipa mbaya)
Sasa kumbe juma nae halipi kodi yeye yupo anaelipa kodi. Anaelipa kodi na mzee mmja hivi ambapo juma anafanya kazi
Sasa siku moja mim niliwah kidog kutoka kazin nkapitia pale kazini kwa juma ili nkachukue funguo ......nkamkuta huyo mzee Nkamuelekez Kua nmefata funguo.... Dah mzee aliwaka kishenzi kwanini anaweka watu bila kunambia na yeye ndie anaelipa kodi!.... Wakat huo juma hakuwepo kazin.
Bas nkawa nipo tu kitaa nazulula[emoji16][emoji16]
Baada ya muda juma kanichek ananilaum why Nmemfuat pale kwake..... Kua yeye anafokewa dah mzee Nlijickia vibaya sana
Jion alipolud akanambia voxser eeeh mzee kakasilika hivyo inabid uwe unakuja kulala kwa machale... Ila Kwaku Sina hela sina namna kwahy nkkitok kazin saa 11 nazururaaaaaaa weeweeee[emoji23][emoji23][emoji51] hadi saa4[emoji3][emoji16][emoji3]
Sas Nkamwambi ndugu yangu ngoj nkatafute chumba ata cha elf kumi akasema acha mimi hiki chumba nachokaa nnahama wiki hi ijumaa utahamia (kod ilikua bado ya mwez mmja)
Kwer jamaa alihama akaniachia chumba ila sasa ntalalia nini! Ntalala nmesimama?? [emoji23][emoji23]
Akasepa akaniachia kikapeti na neti tu[emoji16]
Basi mwanaume nkalala apo daaaah nkawa naamka usiku nnakaa nipumzike afu nalala tena[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]
Basi baada ya wiki nkawa nahis mbavu mbili zimekatika..... Ila nkatia moyo had mwez ukaisha....nkanunua sufuria na gas nkawa nnapika ukifika muda wakulala Nnawaza itakuaje
Afu kulikua kunavidudu vinaitwa sungusungu heeeeeeeh sikiaga tu kikikuotea icho lazim uluke[emoji16][emoji3]siku kikaniotea kwenye P.... U... M... B.. U dah nilitoa na mchozi.... Sasa nkawa nalala na nguo kama wale madaktar wa ebola yaan hakuna sehem nyama ya mwili inaonekana[emoji3][emoji3][emoji3] Hatimae miez mi3 ikafika nkanunua kitanda ......had sasa n takriban miez kadhaaView attachment 1175235View attachment 1175237
Acha kabsa mkuuHahah dah pole sana mkuu
Hiyo picha ya kwanza usje ifuta maishani mwako[emoji16][emoji1373][emoji1373]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah!Ngoja nisimulie kidogo

Umejitahidi mkuu.. hongeraNakumbuka mwaka jana niliaga nyumbani kua natak kusepa nikatafte maisha
Mzee Akanambi hakun kuondoka hapa had nione assets zako
Dah nkasem poa....
Miezi miwili mbele nkapata kaz... Nje kidogo ya mji basi ndo naishi hapa
Changamoto ni kupika na kufua tu[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1175222View attachment 1175223
Waoh! Kuna watu mmehustle sana... hongera sanaKabla ya kuanza kukaa geto nakumbuka 2012 naingia DAR sina ndugu nimjuae,rafiki,wala jirani nimekuja nataka kuwa na maisha yangu...mkononi nina begi la nguo tu sina Cheti hata cha drs la 7...nimetua Ubungo tu nikawaza leo naenda kulala wapi?
Mfukoni nakumbuka nilikua na 14000 alafu nilikua na simu yangu ya bLACKberry bold,begi zito ntaenda nalo wapi nkawa najiuliza? nikawa nimetoka nnje ya stand ya ubungo nakuja mdg mdg na hii road ya shekilango huku naburuza begi langu usiku huo.
Nikaja mdogo mdogo hadi nikafika manzese Tip Top kufika pale nikapata wazo la kwenda kulala kwanza guest alafu kesho yake pakikucha ntajua cha kufanya..nikavuka road nikaenda ndani ndani huko kutafuta guest ya bei rahisi nikabahatika pata guest sh 7000 nikaingia nikaoga nikabadilisha nguo nikawa nawaza sasa..mkononi nina 7000 tu imebaki.
Akili ikanijia..usiku huo huo nikaamka nikatoka nnje ilikua mida ya saa 7 inaenda 8 usiku nikamkuta mlinzi mbabu anakunywa kahawa basi nikamuita,nikamuuliza "samahani babu,nimetoka safari nina nguo chafu nahitaji mtu wa kuzifua napata wapi maana kesho asubuhi natakiwa kuondoka"..yule babau akaniuliza kwahiyo unataka zifuliwe usiku huu uondoke nazo kesho? nikamwambia hapana nitaziacha nitarudi jioni.
Akanambia hata yeye anaweza kuzifua zitoe tuzihesabu na kuziona...basi nikamtolea tukahesabu nikamwachia,hapo nguo wala hazikua chafu nilitaka tu kupata mtu wakubaki na begi langu la nguo..baada yakukubaliana nikampa kisha nikarudi kulala sasa vizuri..palipokucha kazi yya kutafuta kazi ikaaanza.
Nakumbuka nilienda MOSHI HOTEL ipo pale tip top jikoni nikamkuta mzee mmoja nikamwomba kazi,akaniangalia kisha akanambia hapa kazi za wanaume hamna kuna kazi za wanawake tu kama kuosha vyombo na kufanya usafi,unaweza fanya? nikamwambia Baba mimi nafanya kazi yyte naomba kazi..akanambia pita ndani nakumbuka nilikua nimevaa tracksuit nyekundu ya manchester juu mpk chini na raba zangu..nikaingia ndani nikaonyeshwa karo la vyombo lina vyombo masahani na masufuria..
Nikaanza kuosha sahani zinazotoka kwa wateja kazi ikaendelea hadi muda wa kufunga,nikasugua masufuria makubwa mpk yakatakata,nikapiga deki jiko ki ufupi jiko lili meremeta hiyo siku..maana sio kwa kupanga Kule..baada ya kila kitu yule baba alonipa kazi alikua kashaondoka wafanyakazi tunalipwa na keshia mshika daftari na hela so akanambia nimeambiwa nikupe 4000..Nikapokea nikamshukuru akanambia Poa kesho uwahi mapema basi,nikamjibu sawa.
So nikaondoka usiku huo ilikua mida ya saa 7 hv sina pakulala..nikawa nawaza leo naenda wapi kulala! bahati nzuri nikiwa nazunguka mitaa ile ile kuna pub moja iNaitwa LAMBO HUWA kuna wadada wanajiuzaga hapo so wanakesha 24hrs nikaingia mle ndani nikawa nashangaa pool table,na kuangalia vituko vya mle ndani...
Usingizi ukawa unanishika nikawa natamani sana kulala,nikiwa pale nimesimama nasinzia alikuja BAUNSA akanambia oyaaa hatulali humu nenda kalale kwenuuu,kama ushamaliza kinywaji sepa zako...hapo hapo nikaskia DJ akitangaza "BAUNSA TUSAIDIENI KUTOA NNJE WATU WASIO NA VINYWAJI" BASI baunsa akanambia toka nnje..nikamwambia Mi nasubiri game liishe nicheze pool table,akanambia Chukua kinywaji basi....nikamwambia nletee PEPSI basi akanletea pepsi..wanauza 1000.
Nikawa na pepsi yangu,sasa kwakua nina kinywaji nikatafuta kiti na meza nikakaaa na PEPSI yangu,nikawa siiinywi maana ikiisha unafukuzwa nnje au ununue ingine,basi nkaiweka mezani mimi nkawa nasinzia...ivyo ivyo kufika mida yya saa 10 hivi nikanywa pepsi yangu nikatoka nnje nikarudi kule kazini.
Nikafika nikaingia jikoni nikaanza kukoleza moto na kuweka kila kitu mkao yani...saa 11 wakati boss wa jikoni analeta nyama za supu na kongoro,utumbo anakuta nishakoleza Moto nishachemsha maji nipo naota Moto,akaniuliza DOGO VIPI unaipenda kazi yako eeeeh? SAFI SANA.
Basi tukaosha utumbo tukabandika kwa mara yya kwanza saa 12 na nusu supu ilikua ishaiva SIFA ZOTE kwangu yani..basi maisha yangu yakaendelea hivyo usiku nikitoka kazini naenda LAMBO nanunua soda ya buku nakaa mezani nalala hapo hapo ikifika saa 10 nainywa soda natoka naenda kazini...
Nikifika kazini pale naingia kwenye vyoo vya wateja naoga nafua nguo yangu naikamua naikung'uta naivaaa hyo hyo alafu naenda nakoleza moto chap chap nakaa NAOTA basi nilifanya kazi pale sana hadi siku moja yule boss akanishtukia kuwa sina mahali pakulala akaniuliza unakaa wapi? nikamwambia sina pakukaa nikamuelezea kwa ufupi.
AKanambia nitaongea na meneja wa hii hotel utakua unalala na wafanya usafi wa hapa so utakua unakaa hapa hapa,basi alifanya hivyo nikawa nakaa pale pale hotelini nikawa siendi tena LAMBO,maisha yaliendelea hadi nilipopata vicent vya Kupanga GETO ambapo nakumbuka kwa mara ya kwanza kupanga nilipanga chumba cha 15,000 Maisha yaliendelea vizuri nikapata experiance ya vitu vingi.
kwa sasa naishi kwangu naishi maisha ya Ndoto zangu japo bado nazidi kupambana...
Naosha sufuria kupita maelezo yani mdada ukija kwangu ukagusa sufuria zangu kijinga jinga ukaziacha,nazirudia upya
Napika vyakula hadi wadada nikiwapkiaga wananambia we kaka Umejulia wapi kupika vyakula hivi? jibu ni SIRI YANGU.
Nilikujaga kurudia lile BEGI LANGU la nguo nililoachaga kwa BABU japo alinambiaga nimpe 30,000 na kwakua nilikua nayo wala sikuona shida nilimpaga na nikachukua nguo zangu..maisha yakaendelea.
Umeandika ukweli mtupuKero za nyumbani ni nyingi Sana, ukizingatia Umri wa miaka 25 Ni mtu mzima na ungependa kuwa na maamuzi yako.
Lakini ukikaa nyumbani unakuwa mtumwa, Utaambiwa fanya hiki, fanya kile, Nenda kule au Kalete hiki, Simamia kazi fulani nk
Wakati mwingine lawama wakirudi nyumbani, mbona hiki hakipo Kama inavyotakiwa.
Changamoto nyingine nyumbni wanakuchukulia wewe Kama Mtoto asiye jitambua, Hana ratiba, ni Kama robot anasubiri instruction,
Ndio maana ukiamka wanakupa timetable yao na majukumu ambayo unapaswa kuyatekeleza,
Wakati mwingine unaamka na ratiba zako, lakini zinakuwa zinaingiliwa na ratiba za hapo nyumbani walizokupangia, Sio zako.
Nyumbani panakera Sio kidogo.
Uhuru hakuna. Sio uhuru wa kuita Mademu peke ake hata wakufanya maamuzi yako.
Nje ya nyumbani uko huru Sana.
Changamoto zipo pia!!! Kama huna mishe zinazoeleweka!!
Jipange vizuri tu, Uingie mtaani unavijihera Mengine yatajiset polepole.
Mkuu umegusa kila kitu hapa,hom panachosha kwanza..yani tabu tuKero za nyumbani ni nyingi Sana, ukizingatia Umri wa miaka 25 Ni mtu mzima na ungependa kuwa na maamuzi yako.
Lakini ukikaa nyumbani unakuwa mtumwa, Utaambiwa fanya hiki, fanya kile, Nenda kule au Kalete hiki, Simamia kazi fulani nk
Wakati mwingine lawama wakirudi nyumbani, mbona hiki hakipo Kama inavyotakiwa.
Changamoto nyingine nyumbni wanakuchukulia wewe Kama Mtoto asiye jitambua, Hana ratiba, ni Kama robot anasubiri instruction,
Ndio maana ukiamka wanakupa timetable yao na majukumu ambayo unapaswa kuyatekeleza,
Wakati mwingine unaamka na ratiba zako, lakini zinakuwa zinaingiliwa na ratiba za hapo nyumbani walizokupangia, Sio zako.
Nyumbani panakera Sio kidogo.
Uhuru hakuna. Sio uhuru wa kuita Mademu peke ake hata wakufanya maamuzi yako.
Nje ya nyumbani uko huru Sana.
Changamoto zipo pia!!! Kama huna mishe zinazoeleweka!!
Jipange vizuri tu, Uingie mtaani unavijihera Mengine yatajiset polepole.
Nmekosea sijatandikaMkuu bila Shaka hukulala peke yako [emoji16][emoji16]
Vipi mama hio ni moja kat ya mambo ase[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah!