Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Nyie matajiri mna sumbua Sana, mi nilianza na godoro la 20k, mtungi wa gesi na sufuria 2 tu π
I mean no malice to nobody, pamoja Sana Mr pua kubwaπKwa upande wangu namkubali sana tom cruise Intelligent businessman
Eeeeh ndo mwanzo huo...Nyie matajiri mna sumbua Sana, mi nilianza na godoro la 20k, mtungi wa gesi na sufuria 2 tu π
Zile mission impossible hatari sanaI mean no malice to nobody, pamoja Sana Mr pua kubwaπ
Icheki mpya ni π₯π₯π₯, Huku equalizer 3 Ina kusubiriaππͺZile mission impossible hatari sana
It depends na tamaa zakeππWakuu, naomba kuuliza.
Kwa mtu anayeanza kuishi geto anatakiwa kuwa na angalau kiasi gani cha pesa ili kuanza from the beginning.?
Na hesabu za hizo pesa azipangilie vp.?
na wewe unaishi magetoni?
Magetoni ni nini? Ili nijue najibu yes or nona wewe unaishi magetoni?
umepangisha yaaniMagetoni ni nini? Ili nijue najibu yes or no
Ulidhani nakaa kwa mama πumepangisha yaani
Kwanini?Mwakani kivumbi kitatimka π
dogo, huna ndevu kumbuka, tulia hapo kwa mjombaMwakani kivumbi kitatimka π
πdogo, huna ndevu kumbuka, tulia hapo kwa mjomba
don't you ever get lonely in your geto?π
Hapana, nakaa kwa shangazi πdogo, huna ndevu kumbuka, tulia hapo kwa mjomba
Ntatoka hapa kwa shangaziKwanini?
Sometimes.. movie haitizamiki, usingizi haupo⦠ni shwaaap nimeoga nimeenda kwenye wine. Ama shoppers/ AIM mall.. nikirudi nimechoka, nalala.don't you ever get lonely in your geto?
Mwaya baki huko hukoNtatoka hapa kwa shangazi