Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Nyie matajiri mna sumbua Sana, mi nilianza na godoro la 20k, mtungi wa gesi na sufuria 2 tu 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie matajiri mna sumbua Sana, mi nilianza na godoro la 20k, mtungi wa gesi na sufuria 2 tu 😂
I mean no malice to nobody, pamoja Sana Mr pua kubwa😆Kwa upande wangu namkubali sana tom cruise Intelligent businessman
Eeeeh ndo mwanzo huo...Nyie matajiri mna sumbua Sana, mi nilianza na godoro la 20k, mtungi wa gesi na sufuria 2 tu 😂
Zile mission impossible hatari sanaI mean no malice to nobody, pamoja Sana Mr pua kubwa😆
Icheki mpya ni 🔥🔥🔥, Huku equalizer 3 Ina kusubiria😆💪Zile mission impossible hatari sana
It depends na tamaa zake😂😂Wakuu, naomba kuuliza.
Kwa mtu anayeanza kuishi geto anatakiwa kuwa na angalau kiasi gani cha pesa ili kuanza from the beginning.?
Na hesabu za hizo pesa azipangilie vp.?
na wewe unaishi magetoni?
Magetoni ni nini? Ili nijue najibu yes or nona wewe unaishi magetoni?
umepangisha yaaniMagetoni ni nini? Ili nijue najibu yes or no
Ulidhani nakaa kwa mama 😂umepangisha yaani
Kwanini?Mwakani kivumbi kitatimka 😎
dogo, huna ndevu kumbuka, tulia hapo kwa mjombaMwakani kivumbi kitatimka 😎
😆dogo, huna ndevu kumbuka, tulia hapo kwa mjomba
don't you ever get lonely in your geto?
Hapana, nakaa kwa shangazi 😎dogo, huna ndevu kumbuka, tulia hapo kwa mjomba
Ntatoka hapa kwa shangaziKwanini?
Sometimes.. movie haitizamiki, usingizi haupo… ni shwaaap nimeoga nimeenda kwenye wine. Ama shoppers/ AIM mall.. nikirudi nimechoka, nalala.don't you ever get lonely in your geto?
Mwaya baki huko hukoNtatoka hapa kwa shangazi