Ulianzaje kukaa gheto?

Hawa viumbe Mkuu unatakiwa ukae nao kitalamu sana, ila fresh vitu vunatafutwa,bora umeutua huo mzigo
 
Hilo ni ticking Bomb Mkuu,utakuja kukosa kila ktu, Mpe hiyo TV aende zake,usikubali Mwanamke akulipie kodi,unaambiwa asipande hata maua kwako,utakua umeisha
 
Mi tokea nimetoka home mwaka wa sita nautafuta nimepanga,Ila mpaka mwezi wa Saba nitahamia kwenye kinanda changu kiwe kimeisha au laa naona kila baada ya miezi mitatu 180k inanitoka inaniuma balaa na maisha yenyewe yapo wapi waga sijui hata hiyo hela ya kulipa Kodi natoaga wapi😆
 
Kuishi na mtu Tena mwanamke ni kipengele
 
Nikiexperience kuondokana na ubachela kuvuta mtoto ndani naona kipengele mno mnawezaje wakubwa? Yani chumba tu
Achana na hizo mambo bro,wanawake wengi hawana shukrani unaweza vuta,ukawa hujamsoma vizuri atakuletea kiburi hata taka kujishughulisha Wala nin utakuwa wewe unaweza kumlisha tu na kumvisha lawama zake ni juu ya nahitaji yake tu sio maendeleo yenu komaa mwenyewe
 
Shukrani mkuu nitazingatia Hilo pamoja sana mabinti pasua kichwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…