Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa viumbe Mkuu unatakiwa ukae nao kitalamu sana, ila fresh vitu vunatafutwa,bora umeutua huo mzigoWanangu wa gheto eeeh
KOMAAAA ila usikubali kushare kitu chochote na demu ukiwa gheto...!!!
Simama wewe kama wewe.
Nilinunua vitu kibao nikaa na demu Fulani naschool nae.
Baada ya kuzinguana anadai kila kitu chake Tena anataka Hadi kupigana
Nikaona nilifanya makosa kukaa na demu aiseeee nimeondoka nimemuachia kila kitu.
Asaivi nalala chini Sina Cha godoro Wala Nini Nina nguo tu na pumbu mbili.
So tukomae wauni mademu sio watu
Hilo ni ticking Bomb Mkuu,utakuja kukosa kila ktu, Mpe hiyo TV aende zake,usikubali Mwanamke akulipie kodi,unaambiwa asipande hata maua kwako,utakua umeishahii mwenyew imenikuta, kuna manzi alinielewa akawa anatamani kuishi na mimi kila sik anapiga sim anadai kunipenda, alikua akiishi mbali kidogo na kwao adi akadanganya kapata kazi mjini akaja geto kweli alijipambania akapata kazi restaurant moja iv
me nikawa nahofia atakua mzigo kweli tuliish ishi miez kazaa kama 4, Geto nilikua na mazaga zaga kibao nipo full nikawa kama nimemchoka nikaanza kumtafutia makosa nimuache si kaniletea balaa anasema kama nataka kumuacha basi nimwachie tv na kabati langu kapigana kabisa na kunijazia inzi ad balozi wa mtaa kaja kumamae.
nimeamua tu niishi nae mana alikua kanilipia kodi miezi mitatu nyuma nahisi ndo kilicho muuma kutaka kumwacha
Kuishi na mtu Tena mwanamke ni kipengeleKuna mmoja huyo yupo Tanga bac kila kukicha ni simu napigiwa et anataman aje tuishi wte,
mwngne huyu yupo shinyanga nae mwanzo aliniganda km kupe akitaka nimkaribishe Dar aje tuishi wte nikamchinjia baharn kmykmyaa,
Hawa viumbe ukimkarbisha tu unalo mjuba tuweni makini tu tamaa tuache,
Njia ya kukwambia nenda kajitegemee,lkn pia ukiona life right rudisha mpira kwa kipa asije mtu akafia chumbanikuna wazee wajanja sana, anakuacha unashinda njaa hapo hom kama siku tatu na zaidi,baada ya hapo unaamua kusepa liwalo na liwe
Achana na hizo mambo bro,wanawake wengi hawana shukrani unaweza vuta,ukawa hujamsoma vizuri atakuletea kiburi hata taka kujishughulisha Wala nin utakuwa wewe unaweza kumlisha tu na kumvisha lawama zake ni juu ya nahitaji yake tu sio maendeleo yenu komaa mwenyeweNikiexperience kuondokana na ubachela kuvuta mtoto ndani naona kipengele mno mnawezaje wakubwa? Yani chumba tu
Shukrani mkuu nitazingatia Hilo pamoja sana mabinti pasua kichwa sanaAchana na hizo mambo bro,wanawake wengi hawana shukrani unaweza vuta,ukawa hujamsoma vizuri atakuletea kiburi hata taka kujishughulisha Wala nin utakuwa wewe unaweza kumlisha tu na kumvisha lawama zake ni juu ya nahitaji yake tu sio maendeleo yenu komaa mwenyewe
Mkuu wapare tumekukosea nini tena😆😅Huyo demu ni mpare for sure
SUBIRI WAJE WATAKUJIBUNyie madogo mnaendeleaje humu ndani.?
Bado tupo kwa wazazi tunajitafutaNyie madogo mnaendeleaje humu ndani.?
Msichoke kujitafuta, one day mtajipata tu.Bado tupo kwa wazazi tunajitafuta
Mapambano yanaendelea broNyie madogo mnaendeleaje humu ndani.?