Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Wanangu wa gheto eeeh
KOMAAAA ila usikubali kushare kitu chochote na demu ukiwa gheto...!!!

Simama wewe kama wewe.
Nilinunua vitu kibao nikaa na demu Fulani naschool nae.

Baada ya kuzinguana anadai kila kitu chake Tena anataka Hadi kupigana

Nikaona nilifanya makosa kukaa na demu aiseeee nimeondoka nimemuachia kila kitu.

Asaivi nalala chini Sina Cha godoro Wala Nini Nina nguo tu na pumbu mbili.


So tukomae wauni mademu sio watu
Hawa viumbe Mkuu unatakiwa ukae nao kitalamu sana, ila fresh vitu vunatafutwa,bora umeutua huo mzigo
 
hii mwenyew imenikuta, kuna manzi alinielewa akawa anatamani kuishi na mimi kila sik anapiga sim anadai kunipenda, alikua akiishi mbali kidogo na kwao adi akadanganya kapata kazi mjini akaja geto kweli alijipambania akapata kazi restaurant moja iv
me nikawa nahofia atakua mzigo kweli tuliish ishi miez kazaa kama 4, Geto nilikua na mazaga zaga kibao nipo full nikawa kama nimemchoka nikaanza kumtafutia makosa nimuache si kaniletea balaa anasema kama nataka kumuacha basi nimwachie tv na kabati langu kapigana kabisa na kunijazia inzi ad balozi wa mtaa kaja kumamae.
nimeamua tu niishi nae mana alikua kanilipia kodi miezi mitatu nyuma nahisi ndo kilicho muuma kutaka kumwacha
Hilo ni ticking Bomb Mkuu,utakuja kukosa kila ktu, Mpe hiyo TV aende zake,usikubali Mwanamke akulipie kodi,unaambiwa asipande hata maua kwako,utakua umeisha
 
Mi tokea nimetoka home mwaka wa sita nautafuta nimepanga,Ila mpaka mwezi wa Saba nitahamia kwenye kinanda changu kiwe kimeisha au laa naona kila baada ya miezi mitatu 180k inanitoka inaniuma balaa na maisha yenyewe yapo wapi waga sijui hata hiyo hela ya kulipa Kodi natoaga wapi😆
 
Kuna mmoja huyo yupo Tanga bac kila kukicha ni simu napigiwa et anataman aje tuishi wte,

mwngne huyu yupo shinyanga nae mwanzo aliniganda km kupe akitaka nimkaribishe Dar aje tuishi wte nikamchinjia baharn kmykmyaa,

Hawa viumbe ukimkarbisha tu unalo mjuba tuweni makini tu tamaa tuache,
Kuishi na mtu Tena mwanamke ni kipengele
 
Nikiexperience kuondokana na ubachela kuvuta mtoto ndani naona kipengele mno mnawezaje wakubwa? Yani chumba tu
Achana na hizo mambo bro,wanawake wengi hawana shukrani unaweza vuta,ukawa hujamsoma vizuri atakuletea kiburi hata taka kujishughulisha Wala nin utakuwa wewe unaweza kumlisha tu na kumvisha lawama zake ni juu ya nahitaji yake tu sio maendeleo yenu komaa mwenyewe
 
Achana na hizo mambo bro,wanawake wengi hawana shukrani unaweza vuta,ukawa hujamsoma vizuri atakuletea kiburi hata taka kujishughulisha Wala nin utakuwa wewe unaweza kumlisha tu na kumvisha lawama zake ni juu ya nahitaji yake tu sio maendeleo yenu komaa mwenyewe
Shukrani mkuu nitazingatia Hilo pamoja sana mabinti pasua kichwa sana
 
Back
Top Bottom