Madalali ni washenzi sana, tunawatumia tu basi ila ni washenzi aisee.Hapa mjini kutafuta nyumba bila dalali n sawa na kutafuta sidiria ya mikono mirefu.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hivi hizo pressure cooker huwa zinafanya kazi vizuri kweli au promo tuNunua mchele kilo 30,saga unga wa dona kilo 20,nunua mafuta lita kumi au vile vigalon vya lita 5 viwili, sukari nunua kati ya kilo 10 hadi 15. Weka hapo ndani.
Fanya mpango upate pressure cooker, jiko la gesi la plate mbili na mtu mkubwa wa gesi, halafu friji ile ya milango miwili ya juu na chini chukua za kisasa kama Hisense hizi ndio nzuri. Nunua blender.
Unapika maharage kilo moja kwenye pressure cooker, unaweka kwenye friji kazi yako inakuwa ni kuyachota na robo unaunga unakula mara nne yaani asubuhi mchana jioni na asubuhi tena siku inayofuata breakfast.
Wali ukipika unaweza kula mchana, jioni asubuhi na ukafika tena mchana siku ya pili kama kiporo. Friji litakusaidia sana kutunza vyakula muda mrefu.
Pressure cooker itakusaidia sana kupika vyakula kwa muda mfupi kwa gharama nafuu. Stock hiyo ya chakula ukiitumia vizuri itakuvusha mwezi mzima au miezi hata miwili bila kuhangaika na vyakula.
Zinapiga fresh kabisaHivi hizo pressure cooker huwa zinafanya kazi vizuri kweli au promo tu
Mbn hutupii? Miez mi2 imepita sasawakuu walokua wantupiaga picha za mageto yao walikua wanatupa hamasa sana na ss
mwez wa 12 ntatupia na mm picha la geto langu wasee
Hapo Kodi shingapi?Ghetto maanake nini mkuu. Nikipanga appartment haiwezi kuwa ghetto langu la kuanzia maisha maana sijajenga bado. Na most appartment unakuta tayari furnished, mpangaji ni kulipa kodi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeNilipanga gheto vitu vyote niliuza demu wangu alitaka kunitapeli nikauza hapa kimya alivyopata na msiba kwao so akaenda uku nyuma nikauza nikahama na chumba nikarudisha najipanga niaze upya nimerudi kwanza home mwakani inshallah najipanga tena.
NATOA Onyo kama kijana unapambana tafadhali Usijichanganye kuishi na videm njaaa.
Kwenye hiko kiuwazi pitisha kadi yako ya AtM or kitambulisho cha plastic kwenye hiyo lock inarudi ndani unafunguwa ! Labda kama pafungwe nq lock ya funguo itakataa
Nchi 8 inakaaje bei yake?Dodoma mkuu
Mbona misosi ya kuanzia hujaorodhesha?Nitoe nini au niongeze nini hapo wakuu?. TV nimepiga pend.
View attachment 2965494
Pita kwa wana/rafiki zakoangalia yao yapoje then boresha kulingana na budget yako.800k ipo wakubwa.
Naomba maelekezo geto hata lipendeze kwa mbali. Nianze na vipi haswa?
Sikia niku shauri, coz nime toka huko Mzee.800k ipo wakubwa.
Naomba maelekezo geto hata lipendeze kwa mbali. Nianze na vipi haswa?