Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Nunua mchele kilo 30,saga unga wa dona kilo 20,nunua mafuta lita kumi au vile vigalon vya lita 5 viwili, sukari nunua kati ya kilo 10 hadi 15. Weka hapo ndani.

Fanya mpango upate pressure cooker, jiko la gesi la plate mbili na mtu mkubwa wa gesi, halafu friji ile ya milango miwili ya juu na chini chukua za kisasa kama Hisense hizi ndio nzuri. Nunua blender.

Unapika maharage kilo moja kwenye pressure cooker, unaweka kwenye friji kazi yako inakuwa ni kuyachota na robo unaunga unakula mara nne yaani asubuhi mchana jioni na asubuhi tena siku inayofuata breakfast.

Wali ukipika unaweza kula mchana, jioni asubuhi na ukafika tena mchana siku ya pili kama kiporo. Friji litakusaidia sana kutunza vyakula muda mrefu.

Pressure cooker itakusaidia sana kupika vyakula kwa muda mfupi kwa gharama nafuu. Stock hiyo ya chakula ukiitumia vizuri itakuvusha mwezi mzima au miezi hata miwili bila kuhangaika na vyakula.
Hivi hizo pressure cooker huwa zinafanya kazi vizuri kweli au promo tu
 
Nilipanga gheto vitu vyote niliuza demu wangu alitaka kunitapeli nikauza hapa kimya alivyopata na msiba kwao so akaenda uku nyuma nikauza nikahama na chumba nikarudisha najipanga niaze upya nimerudi kwanza home mwakani inshallah najipanga tena.

NATOA Onyo kama kijana unapambana tafadhali Usijichanganye kuishi na videm njaaa.
Aisee
 
IMG_0335.jpeg
 
800k ipo wakubwa.
Naomba maelekezo geto hata lipendeze kwa mbali. Nianze na vipi haswa?
Sikia niku shauri, coz nime toka huko Mzee.
01)Tafuta godoro lako 5*6
02,Gesi mtungi mdogo oryx(complete 45) sija jua huko.
03, chakula Anza na mfuko wa sembe kg 25,
04, mchele kanunue kilo hata 30, jifanye muuza duka una tafuta wa Bei ya jumla.
05, shuka, neti,
Hapa una ishi fresh kabisa, hizo mbwembwe Kwa kijana anae Anza simshauri kabisa.
 
Back
Top Bottom