Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
800k ipo wakubwa.
Naomba maelekezo geto hata lipendeze kwa mbali. Nianze na vipi haswa?
Mzee Kwa hustler, why uchome mpunga wote huo??.Kitanda na godoro 300k
Kitchen cabinet milango miwili 100k
Vyombo 50k
Pazia nne 50k
Jiko dogo la gesi 45k
Pasi 30k
Extension cable 10k
Sabufa 70k-100k
Total 695k
Vingine utamalizia
Nunua vitu kwa awamu..800k ipo wakubwa.
Naomba maelekezo geto hata lipendeze kwa mbali. Nianze na vipi haswa?
Mzee Kwa hustler, why uchome mpunga wote huo??.
Live normal, Nyingine fanya vitu muhimu.
Hahaha, Pesa mfuko wa shati niimited money Mzee😁.Lakini amesema uhakika pesa mfuko wa shati
Hahaha, Pesa mfuko wa shati niimited money Mzee[emoji16].
Yaani haizidi hapo, ila mi sishauri achome zaidi ya 500k
atafnya vtu gani vya muhimu mkuu wakat hyo pesa kaandaa special kwa ajili ya geto😂😂 acha ubahili mkuuMzee Kwa hustler, why uchome mpunga wote huo??.
Live normal, Nyingine fanya vitu muhimu.
Mi kweli bahili, chumba changu napenda kisiwe na mambo mengi.atafnya vtu gani vya muhimu mkuu wakat hyo pesa kaandaa special kwa ajili ya geto😂😂 acha ubahili mkuu
kikulungwa kabsa hv ps 4 bei gani kwa sasa hv mkuu nataman sku nikiotea pesa mahala namm nimiliki japo sio leo wala kesho mkuuMi kweli bahili, chumba changu napenda kisiwe na mambo mengi.
- godoro,
-laptop
-shuka, blanket, basi😂😂
- pad ya game, ps 4
- tv, nayo nime ipeleka store.
Sasa hapo ambacho sio normal ni nin?Mzee Kwa hustler, why uchome mpunga wote huo??.
Live normal, Nyingine fanya vitu muhimu.
😂😂 anataka afungue biashara ya mboga mboga hzo chenji ztakazobaki mkuu😂Sasa hapo ambacho sio normal ni nin?
Tafuta 450 niongeze na waday, waku letee na pad 2.kikulungwa kabsa hv ps 4 bei gani kwa sasa hv mkuu nataman sku nikiotea pesa mahala namm nimiliki japo sio leo wala kesho mkuu
Uta elewa siku moja tu mkuu😂😂 anataka afungue biashara ya mboga mboga hzo chenji ztakazobaki mkuu😂
i mean no malice to nobodyUta elewa siku moja tu mkuu
poa mkuu ngoja nijitafute sema mwakani au mwaka huu mwshon mkuu tutachonga kuhusu hyo issue kaka naitaka sana aiseeTafuta 450 niongeze na waday, waku letee na pad 2.
Bei huwa ni 550_500, ila we familia kaza ukji pata nambiepoa mkuu ngoja nijitafute sema mwakani au mwaka huu mwshon mkuu tutachonga kuhusu hyo issue kaka naitaka sana aisee
amna noma mkuu kuna mambo nayafanya nkikamilisha ntakurudia mkuu mwsho wa mwaka s unajua tena uwabata lqzma itifaki izingatiwe mkuu😂😂 mwsho wa mwaka inshaallah ntakuchek kaka mkubwaBei huwa ni 550_500, ila we familia kaza ukji pata nambie
Bei huwa ni 550_500, ila we familia kaza ukji pata nambie
Zote una pata tu mzee, hii niliyo nayo ni slim.550 Ps4 fat au slim
Zote una pata tu mzee, hii niliyo nayo ni slim.