Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

800k ipo wakubwa.
Naomba maelekezo geto hata lipendeze kwa mbali. Nianze na vipi haswa?

Kitanda na godoro 300k
Kitchen cabinet milango miwili 100k
Vyombo 50k
Pazia nne 50k
Jiko dogo la gesi 45k
Pasi 30k
Extension cable 10k
Sabufa 70k-100k

Total 695k

Vingine utamalizia
 
800k ipo wakubwa.
Naomba maelekezo geto hata lipendeze kwa mbali. Nianze na vipi haswa?
Nunua vitu kwa awamu..

tenga awamu ya vyombo vya kupikia kivyake
Vifaa vya kieletronic kivyake etc.
 
Back
Top Bottom