Ulianzaje kukaa gheto?

Wakuu, ile kazi niliyokuwa naitegemea naona inachechemea kwahy suala la kuondoka hapa kwa shangazi naona liko 50/50 ila inshallah namuomba Mungu atie mkono mambo yarud kama kawaida. 😎
 
YEAHHH KUNA SONG MOJA LINAITWA SIR GOD NALIPENDA SANA HASA KWENYE ILE VERSW YA NILIUZA SIMU ILI NINUNUE MAZIWA,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,MIE NAONGEZEA NILIUZA RICE COOKE ILI NIKANUNUE WALI,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,LOOKS FUNNY BUT SERIOUS ASEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
Upo chuo gani..?
 
Wakuu tushauriane pia mishe za kupiga mtaani, siku zisonge tungoje hatima yetu ambayo ni kifo.

Mwezi wa 12 nakuja mjini(Dar es salaam), naamini ntakuwa na kama 3 million , tushauriane fursa za mitaji midogo kama hiyo ili mageto yetu yapendeze maradufu.
 
Apo ishu ni bodaboda tu mzee hakuna namna... Kwa sasa nimerudisha mpira kwa kipa sina harakati baada ya kazi yangu ya mkataba kuisha nafikiria kusomea driving niangalie upepo unaendaje
 
Ukiingia mjini usianze biashara na huo mtaji wako Mkuu. Ukaushie kwanza wewe uingie mchezoni kama winga mwanafunzi ma bro wakufundishe mishe mishe.

Baada ya kama miezi miwili/mitatu tumbukiza sasa 1m kwenye mishe utakayokuwa umei masta vizuri.

Hiyo 3m bila mambo mengi unaweza kuiona future kabisa Mkuu.

Kila la kheri.
 
Nashukuru sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…