Ulianzaje kukaa gheto?

Mkuu kweli umehustle. Big up
 
Hahha mabibo beach hahah napafahamu sana nimesoma NIT pia na nimekaa sana makutano ila maeneo ya mabwawani sijawahi jaribu wanachuo walikua wanalizwa sana pale
 
Ile kufika tu chuo first year Morogoro, nikaulizwa utakaa hostel? Nikaambia hapana nitapanga mtaani, wakasema utaweza kweli nikaambia ndiyo. Bhas nikatoka home na godoro tuu nikatimba nalo sehemu nimepata chumba baada ya siku kadhaa nikaongeza mazaga kidogo. Ila mpaka leo nimependa style ya kulala chini na godoro tu na sijawaza kununua kitanda tena.

Changamoto kubwa ni kwenye kulipa kodi hapo ndo tunapelekeshana kweli na mwenye nyumba, maana maisha yanaenda bila mkopo. Ila now mwaka wa mwisho naenda sio mbaya nimezoea.

Aki maisha ya geto ni mazuri sana hasa ukiwa una mamisosi ndaniii.
 
Vyumba sh ngp uko mzee na mm nakuja uko Chuo??
 
Yess
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…