Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
mkuu ghetto ni mahali salama kabisa hamna haya mambo😀Geto sehemu ambapo wadada wanatafunwa kama nyama...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu ghetto ni mahali salama kabisa hamna haya mambo😀Geto sehemu ambapo wadada wanatafunwa kama nyama...
Hata mie nshamtafuna sana huyoUtakuwa ni mhanga tu kwa vyovyote vile hata mwandiko wako unaonyesha kuwa umetafunwa kama nyama
Unchozungumza ndo nnchoptia mda huu...nlmaliza chuo irnga vitu nkagawa kwa ndugu zangu maana mimi n wa hko hkoWakuu mambo vipi,,Leo naomba tufanye kushare kila mtu jinsi alivyo chomoka Nyumbani kwao..Hii itatoa hamasa kwa wale waliokua nyumbani na kuogopa kuhama na kuanza kujitegemea.
Janga hili linawakumba wana vyuo wengi,unakuta mtu anamalza chuo akiwa labda ana 25 then anarud nyumbani ,mbaya zaid anasubir kazi..alaf kazi zenyew haijulkani utapata lini.
Hii inapelekea wana wengi kua na fear ya kuchomoka home...Kiukwel hali ya kukaa hom inakata sana..Mzee unakuta anachomoka anakuachia mikazi flani hivi howcome.
Ukija upande wa MMU ndio mambo yanakua sio mambo...mtoto anataka aje kukusalmia unaona soo kwasababu upo nyumbani..inakata sana hii
Tukija kwenye maisha ya kujituma tu..sometime unakosa hamasa ya kupambana kwasababu ugali wa bure,unalala bure,kila kitu bure..hii inakua ngumu kuwaza kwa mapana ili kuanza kukamilisha dream zako..
Pia inakata sana..pale wanao unakuta wapo na mageto yao..lakin wewe kwako ni tofauti.
Sasa naomba kila mmoja aseme alichomokaje home na kuanza kukomaa na maisha..Achilia changamoto zake kikubwa hapa ni kusepa kwa maza..
##Mimi binafsi geto nilianza kukaa soon nilivyoingia chuo,,,nakumbuka nilipata room ya elf 50 nikaanza nayo kibish,nikanunua bed ya 150, 5 kwa 6,nikatafuta feni tu ya elf 35..si unajua joto la dar..nikaingia k.koo nikavuta subwoofer ya elf 75 tu...geto bila mziki sio geto ni choo,kujichek mfukoni boom likawa lishakata...basi nikaendelea kuishi geto hadi namalza chuo geto likawa limesheheni tu...
sasa baada ya kumalza chuo. Ndio nikarudi hom..ujinga niliofanya ni kurud hom na baadhi ya vitu niliviuza...Kasheshe ndio ipo saiz..wakuu hom akili inalala,,vibe yote hakuna ,hapa ndio najichanga nichomoke tena nirud geto nianze kupambana..hop ndan ya huu mwaka nitakua nishasepa hom kwa mara nyingine.
Sasa share kitu basi nawewe..
#Nini lilikusukuma usepe home?
#Kitu gani kilikupa mzuka wa kuanza kukaa geto?
#Vipi ulianza kukaa geto ukiwa na kazi au kibishi tu?
#Maisha yalkuaje since day one?
#Je ulienjoy uamuzi wako wa kusepa home?
#ulianza kununa vitu gani vya msingi na kuanza kuishi geto
#Una lipi la kuwaambia wana walioko home hadi leo wakiogopa kukaa geto kisa hawana ajira bado?
Karibuni wakuu..
View attachment 878774
hadi leo sielewi ule woga ulitoka wapi? manzi aliolewa baada ya mwaka mmoja now ana mtoto. ila mpaka leo ananiuliza kwa nini nilitoka mbioDaah kwel mkuu...ila ulitisha kurud kupambana upya.....manz kwaiyo akalisongesha mwenyew? Si ungerud tu mkuu
Umeeleweka dada ucjalSiwezi mwaga mchele kwenye kuku wengi
Ni kwel mkuu...naamini walioko vyuoni hapa wamejifunza kitu...Ahsante kwa mchango wakoWengine tukiandika story zetu hapa ni ndefu sana.
Ila najua wengu wanaochelewa kutoka home ni waliosoma, na njia rahisi ya kuanza kuishi ghetto ni ukiwa chuoni, yani hata kama unaishi hostel za chuo anza kununua hata godoro weka huko, mapazia, rice cooker na vitu vya msingi. Kabla ya kumaliza chuo hakikisha unapata chumba unapanga unaweka na mali zako. Hata kama utarudi nyumbani, rudi huku umeacha ghetto hata kama lina godoro tupu, na mfukoni ukiwa na pesa ya akiba iliyotokana na kujua namna na kumanage matumizi ya pesa ukiwa chuoni.
Kwa wale wenye wazazi wasiotaka vijana wao watoke home huku hawaza kazi rasmi, njia rahisi ni hata kudanganya kuwa unasafari unaenda kumsalimia rafiki yako fulani, au umeitwa kwa ajili ya tempo sehemu fulani, nk, ukitoka tu hapo ndio mazima siku ukirudi ni kwenda kumalizia mizigo iliyobaki home. Ikiwa huko ulikoenda anawaambia tu nimepata mishe ya kufanya hivyo sitarudi saizi nyumbani nimepanga kichumba sehemu, wataelewa tu, na wazidi kukuombea kwa Mungu maisha yakunyookee
Mkuu i salute youKufupisha story ni kwamba gari ile niliifanya uber kipindi hicho ndo uber imeanza hope nilizisha mapambano kwani nlikuwa nahakikisha nalaza laki kila siku ya mungu na wife wakati yupo na ujauzito mkubwa akaajiri mtu wa kusambaza vitu vyake kwa wateja huku na mimi nikisambaza vyangu kwa gari huku wakati mwengne nikimsambazia na yeye,mwisho wa siku nilifungua duka ambalo wife baada a kujifungua akawa ndo msimamizi na pia deni la mzee la 20k kila siku nililitimiza na mwisho wa siku gari ikawa yetu,nakumbuka siku ya harusi babamkwe akatupa kiwanja kwa ksema altupa mtihani wa kujinunulia wenyewe means ile hela tulokuwa tunampa kila siku aliitu za na kutununulia zawadi ya kiwanja huk nasi tukiwa na vingine vitatu hiyo ndo story yangu ya geto ambayo imenipa mke na nyumba ambayo naimalizia now,watoto wangu mapacha,pamoja na gari 3,maduka na biashara nyingine na kunifanya nisahau kuajiriwa japo nna degree yangu ya first class
Ni kweli kaka...mimi pia nishapata sana hela hapa katikati..lakin nikawa kila siku nasema nitasepa,mara inakuja idea ya kutaka kununua kila kitu kwanza kabla ya kwenda geto..mwisho wa siku hela naitumia..saiz ndio nmesema noo...ndan ya mwaka huu i have to go tu..Unchozungumza ndo nnchoptia mda huu...nlmaliza chuo irnga vitu nkagawa kwa ndugu zangu maana mimi n wa hko hko
Sasa hv ndo nmepata kila kitu nnampango tar 30 nchomomoke
Lakin hapo kumbuka nmeghairi mara kbao tangu mwezi wa 8....kila hela nkpata naghairi kupanga naiweka kwenye biashara.....sasa hv ndo nnaona npo stable
Inawezkn mkuu....ukikaa home kuna mambo utashndwa ht kuyapanga
Lazima itakua ifmDaaaah nimekumbukaa mbali sana nimemaliza chuo 2015 nimesota mno 2016 nikajilipua nikatoka home kigambon mpaka tabata cna kaz uzur nilikuwa nakila kitu kuanzia godoro kitanda fen redio tv chumba 70k nikalipa six month pesa niliomba nikabakia na laki hiv piga mishe kitaa na laki ikakata maisha yakawa magum sana nikawa nafanya kaz yyte iliyopo mbele yangu nimebeba tofali nimeuza sabun lkn wap baada ya miez mitano nikarudisha mpira kwa kipa nikaenda home nikakaa miez mitano nikasepa tena nikaona nihame mkoa mpaka sasa niko arusha mi siiti gheto naita nyumba sahiv nipo nishazoea
Daah kwel mkuu ulitoa boko...ila naamini mnachat fresh tu...big up sana mkuu kwa kusharehadi leo sielewi ule woga ulitoka wapi? manzi aliolewa baada ya mwaka mmoja now ana mtoto. ila mpaka leo ananiuliza kwa nini nilitoka mbio
bado napambana mkuu