Safi sana mkuu...wanaume tumeumbiwa kupambanaNataman Sana kupanga na mimi maana napenda Sana maisha ya ubachela Sana hasa kuwa Free na akili inapanuka Sana ukiwa unajitegemea kuliko kuwa mtu wa kihome boy jau Sana kupitia huu uzima umenipa motisha kinyama ya kwenda kupanga na umeni inspire kuwa hutakiwi kuogopa changamoto hasa ukiwa kama mwanaume ni kupambana na kuwa na nidhamu ya pesa mbona easy Ngoja nilivalie njuga hii mbishe soon ntawapa mirejesho ya kuwa magetoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Anza sasahiviNipo mwaka wa kwanza chuo fulani Dodoma nafikiria mwakani nichukue chumba cha bei chee nianze kuweka mazaga taratibu naamin ntafika tu wakuu
Hili ghetto unahitaji moyo kama wa HARMORAPA kulipost.. maamaaeee we jamaa ni nyossoGetto time......kuchek movie kidogo[emoji7]View attachment 1487283View attachment 1487284
Hili ghetto unahitaji moyo kama wa HARMORAPA kulipost.. maamaaeee we jamaa ni nyosso
Achana na watu wa jf.Kwani hapo kuna kipi cha kustaajabisha
Acha kujimwambafai onyesha lako, sasaHili ghetto unahitaji moyo kama wa HARMORAPA kulipost.. maamaaeee we jamaa ni nyosso
Saf sana mkuuAchana na watu wa jf.
Fake life.
Ukute kakaa kweye kochi kwa shemeji yake.
Naamini baada ya miaka kadhaa utakuwa na gheto kali.
Wakati nimeanza maisha mpaka sasa kitu pekee ambacho sijabadili ninacho ni kitanda na godoro tu.
Nilianza na tv Samsung inchi 24.
Kafriji cha mlango mmoja.
Kitanda godoro jiko la mchina mkaa na vya kupikia.
Lakini vyote hivyo sina nina kitanda na godoro tu vingine nimeshabadilisha.
Jiko la mchina hata sijui liko wapi
Sio kwamba namkejeli hapana. Wabongo tusitoe maana ya kitu kwa fikra zetu.Acha kujimwambafai onyesha lako, sasa
Achana na watu wa jf.
Fake life.
Ukute kakaa kweye kochi kwa shemeji yake.
Naamini baada ya miaka kadhaa utakuwa na gheto kali.
Wakati nimeanza maisha mpaka sasa kitu pekee ambacho sijabadili ninacho ni kitanda na godoro tu.
Nilianza na tv Samsung inchi 24.
Kafriji cha mlango mmoja.
Kitanda godoro jiko la mchina mkaa na vya kupikia.
Lakini vyote hivyo sina nina kitanda na godoro tu vingine nimeshabadilisha.
Jiko la mchina hata sijui liko wapi
Hili ghetto unahitaji moyo kama wa HARMORAPA kulipost.. maamaaeee we jamaa ni nyosso
dah nlkaa geto cku naamia kwanza n mlman wapangaj wanaona jamaa lmekuja na beg mgongon na ndoo mbil tu geto nkapewa funguo nkazama ndan apo nna elf 30 tu mfukon hata godoro cna jko cna yan cna kila ktu maisha haya kuna cku nkikumbukaga izo moment ua nacheka mwenyew mana nguo za kwenye beg ndio zlkua godoroMkuu,, mi nilianza kulalia koti geto maana hata hela ya mkeka sikua nayo kibishi, lkn sahiv geto lipo full
Kila la kheri!Ghetto baada ya kumaliza chuo na kukosa ajira nikarudi kwa kipa ila sasa mambo ya home sijui wadogo zako wako shule kaka zako washaoa na dada washaolewa.
kutumwa royco mchuzi mix, simba 2, steel wire dah! Nkaona haya yote ya nin kidume na kidev changu kimejaa mzuzu kwanza mshua anakata jicho unafuga ndevu nyngi kweny nyumba yake.
Bas nkaona ngoja nirudishe tena majeshi nkarud pasi ndefu za kutosha na kupiga vibarua nkaotea 250,000 chap kulipia kodi hustle zikaanza tena Jah akabless, machalii zangu tukapeana harakati za hapa na pale ndogo ndogo mpaka sasa mungu ni mkubwa kidume napambana 2021 inshallah nataka nivute jiko ndan[emoji41]
Feni ya kibabe hiyo!Ghetto la msela .View attachment 1505994
Raha sana kupitia uzi huu tutapunguza tatizo la vijana la kula kulala .kichwa lazima kijifunze kupambana na changamotoGhetto la msela .View attachment 1505994
Hakika nafurahi kusikia hivo mkuu, maana haya mambo yakusema Ngoja nijipange, utajikuta unachelewa tuu hakuna lolote ulilofanyadah nlkaa geto cku naamia kwanza n mlman wapangaj wanaona jamaa lmekuja na beg mgongon na ndoo mbil tu geto nkapewa funguo nkazama ndan apo nna elf 30 tu mfukon hata godoro cna jko cna yan cna kila ktu maisha haya kuna cku nkikumbukaga izo moment ua nacheka mwenyew mana nguo za kwenye beg ndio zlkua godoro