Morg
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 1,301
- 1,788
Nataman Sana kupanga na mimi maana napenda Sana maisha ya ubachela Sana hasa kuwa Free na akili inapanuka Sana ukiwa unajitegemea kuliko kuwa mtu wa kihome boy jau Sana kupitia huu uzima umenipa motisha kinyama ya kwenda kupanga na umeni inspire kuwa hutakiwi kuogopa changamoto hasa ukiwa kama mwanaume ni kupambana na kuwa na nidhamu ya pesa mbona easy Ngoja nilivalie njuga hii mbishe soon ntawapa mirejesho ya kuwa magetoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app