Ulianzaje kukaa gheto?

Daa umepambna mkuu..Naamini saiz akili yako sio sawa na waliokaa nyumbani...
 
Mkuu ulijilipua kweli..ukizingatia hta godoro hukua nalo...naamini hapa umetupa somo la uoga..thanks mkuu
Nilipanga gheto nkalipa kodi ya miezi miwili nlikuwa sina godoro mwenye nyumba akinisaidia godoro, nikaanzia kulala chini. Ila saiv gheto limejaa
Nipo kwenye process za kumalizia nyumba yangu
 
Geto kama unaishi mwenyewe usipokuwa malayaa bhasi Mpigaa nyetooo balaa
Hayo ni mawazo machafu bro. Geto usipokuwa na shughuli au kazi maalumu lazima mawazo ya umalaya na uchaf mwingine yakujie. Lakin ukiwa na kaxi inakutoa asubuhi inakurudisha usiku. Huo muda hauna.
Si wote wako hivyo, geto si danguro
 
Tunakufuatilia maana humu ndani kuna wakina shigongo wengi sana...
 
Mimi nina 23 years now, nimeanza kuishi geto nikiwa na miaka 19, baada ya kupote ada ya chuo million 2 na nusu ila saiv maisha yanaenda vzr tu namshukuru Mungu kwa kupoteza hela nilikimbia kipigo cha mzeee baba
Mwanamke anayekaa geto lake bila ya utegemezi wa wazazi/bwana wake huwa namuappreciate sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…