Ulianzaje kukaa gheto?


Daah
Mteremko wa stori yako nimeukubali sana hasa nikikumbuka miaka hiyo lakini sijui hii ni wewe au mshkaji
Lakini nakukubali sana kwenye ukweli
Sababu hata mimi nilikuwa na akili hiyo sana
🙏
 
Wazee waliRAP vibaya mno[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka sana hapo.
 
Hongera sana mkuu
 
Jamani nauza viatu VIPYA bei 20k nipo dsm KIGOGO
 

Attachments

  • 118305505_305662717549122_1632336717657973379_o.jpg
    20.5 KB · Views: 33
  • 118258565_305662104215850_115292616299041652_o.jpg
    98.5 KB · Views: 33
Wajuba, Nilimaliza chuo nkawaza sana nirudi home akili ikagoma Nkaendelea kuishi Hostel uku mzee ashapiga kelele nirudi home au Atakata mrija wa Kunipa mpunga nkaona potelea pote ngoja nimuoneshe mshua walau naweza kukaa mbali na home bila hata mia yake nilivunga hostel kama Miezi 3 ivi na vyuo vilikuwa vimevungwa Nilijenga urafikia na walinzi tu ili niwe nazama kulala Hostel za chuo nilikuwa nawatoa toa fegi niliandika rundo la CV nkasambaza kila ofisi inayo deal na career yangu final nkapata mchongo Salary ya kwanza tu huyo Magetoni nkalipa room miezi miwili nkanunua na mkeka, balance ingine ikabaki mfukoni mwezi ujao nkavuta Godoro, Mwezi ujao kitanda mdo mdo mpaka geto likajaa baada ya mwaka Mshua alizidi kelele sana nirudi home kusimamia project zake Nkatafakari wee mwisho tukaelewana, Wakati nasepa geto halikuwa mbali na chuo kuna dogo alitoka bush uko from nowhere tu alikuja chuo pale hana anaemjua nilikaa nae kama mwezi wakati nasepa nilimuachia almost kila kitu na nkampa wosia kuwa kama home hamna ramani aanze kuangalia mishe wakati anasoma hata nikutembeza karanga hostel itamjenga wakati anachomoka third atakuwa kajifunza kujitegemea na hatakuwa na akili ya kwenda kugombea ugali na wadogo zake.
 
Jamaa yangu alikuwa anatafuna demu mwenye jina kama lako getoni ubungo sio we kweli?
 
Mimi nina 23 years now, nimeanza kuishi geto nikiwa na miaka 19, baada ya kupote ada ya chuo million 2 na nusu ila saiv maisha yanaenda vzr tu namshukuru Mungu kwa kupoteza hela nilikimbia kipigo cha mzeee baba
Hahaa! Kama upo DSM naomba nikutembelee kama ndugu
 
Humu ndani mko kimya...

Wekeni picha basi + stories za ghetto
Jamaa yangu juzi kalipiwa chumba na mama wa demu wake kwa miez 6..saiz anawaza baada ya hyo miez 6 itakuaje..nikamwambia ndo ushahamia geto tena..jamaa alikua anakaa hom kwao...muda mwingine analala hom kwa demu ...sasa mama mtu (mama wa demu)akasema ngoja niwatafutie geto hawa[emoji16]

Sema saiz jamaa kawa na mishe mishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…