Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Naona shuhuda nyingi humu Ni 98s+
Anyways muwe mnapaka hata rangi hayo magheto yenu wajameni na kuzingatia mpangilio nzuri wa vyombo . Wish you lucky..[emoji1476]
Hahaha hata mimi huku getto kwangu nadhan hamna mpangilio mzuri wa vitu na ukiona ivo ujue yupo single wanaume wengi so wapangaji wa zuri wa vitu majumban
 
Naona shuhuda nyingi humu Ni 98s+
Anyways muwe mnapaka hata rangi hayo magheto yenu wajameni na kuzingatia mpangilio nzuri wa vyombo . Wish you lucky..[emoji1476]
Hayo ndo mageto ya masela [emoji3]
 
Wakuu nina mpango wa kusepa home,GODORO,KITANDA na kindoo nadhani vinanitosha kusepa home.....sijui JIKO na SABUFA hivo vitasubiri kwanza asee japo nilikuwa navitamani niwe navyo kabla ya kusepa
Inatakiwa uwe na sabufa au redio ya kawaida ukapunguze kelele za shemeji upangajini
 
Naona shuhuda nyingi humu Ni 98s+
Anyways muwe mnapaka hata rangi hayo magheto yenu wajameni na kuzingatia mpangilio nzuri wa vyombo . Wish you lucky..[emoji1476]
Mie ghetto kwangu kupo vizuri, kila kitu kinakaa mahali pake na kwa usahihi, naheshimu sana sehemu ambayo maisha yangu yanafanyika hapo.
 
Wakuu nina mpango wa kusepa home,GODORO,KITANDA na kindoo nadhani vinanitosha kusepa home.....sijui JIKO na SABUFA hivo vitasubiri kwanza asee japo nilikuwa navitamani niwe navyo kabla ya kusepa
Sasa unasubr nn[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom