Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

inaboa mzee baba, mimi ikinichanganya nikikamilisha hela ya kodi, SABUFA naachana nayo...nitainunua mbele kwa mbele
 
Hivi huwa mnapata wapi ujasiri wa kuingiza chicks huko ghettos ili hali sio main, (husband/wife)?
Heshimuni sehemu mnazofanyia maisha yenu. Ni hekalu takatifu lako hilo.

Nikuulize ile friendly tu ni Bora
Nikatoe pesa gesti ambayo kutwa kucha watu watoa laana zao kwenye hivyo vitanda na nuksi zao
Au nimkaribishe mpenzi wangu ninapo ishi.
Kwanza kumleta ninapoishi ni heshima fulani hivi....
 
Nikuulize ile friendly tu ni Bora
Nikatoe pesa gesti ambayo kutwa kucha watu watoa laana zao kwenye ivyo vitanda na nuksi zao
Au nimkaribishe mpenzi wangu ninapo ishi.
Kwanza kumleta ninapoishi ni heshima fulani ivi....
Nilicho kimaansha ni yule ambaye sio mume/mke,
It's ouk mnapelekana huko ghettos mwishoe mnaachana what's next?
Itakua ni mwendo wa kubadilisha chicks, sasa hiyo heshima na hekima na baraka za ghetto zitatoka wapi?
Heshimuni sehemu mnazofanyia maisha yenu. Ni mahali pakatifu kwako.
 
Nilicho kimaansha ni yule ambaye sio mume/mke,
It's ouk mnapelekana huko ghettos mwshoe mnaachan what's next?
Itakua n mwendo wa kubadilisha chicks, sasa hiyo heshima na hekima na baraka za ghetto zitatoka wapi?
Heshimuni sehemu mnazofanyia maisha yenu. Ni mahali pakatifu kwako.
Unachomaanisha hapa watu wasifanye mapenzi labda wawe wameoana......

Kwa upande wangu me nafanya na niki-oa pia naendelea kufanya...

Kanisani ndo patakatifu labda, nyumba ya kupanga wewe huleti wenzako wanaleta huoni utakatifu wa hio nyumba umeshachafuka!!! 🙄

Au chumba chako kitakua kitakatifu afu vingine vyote sita(maibe) viovu.

Ata ndo watu wanaachana na kutalakiana kabisa... Kwaio kuachana kupo haijalishi......
 
Nilipangwa kikazi dsm serikalini office kubwa tu
Nikashukia kwa ndugu yangu mmoja hivi kula week tu anakanza usumbufu mara osha vyombo mara deki mara ogesha watoto nikawa nachoka tukashindwana akanitimua

Bhasi nikawa nalala gest per day 15 inaitwa Fiji ipo tabata chama nikaka pale week uku natafuta getto bhasi nikapata getto maeneo ya kurasini

Nikalipa kwa mwezi 50 miezi 4 mana nilikuwa sina pakuishi na gest gharama sasa nikawa pesa nayo imekats na sina msada maan pesa ya Ajira mpyaa ilikuwa haija ingia

Kunamwana aliahidi atanipa godoro lakuanzia maisha siku nimelipa kodi Naenda kuamia sasa yule jama wa godoro akazingua ikabidi niwe nalala chini nitandika nguo dirishana Pazia lilikuwa Taulo ninayo ogea ilikuwa kisanga sanaaaaa bhasi tu nimeishi ivyo kwa week mbili

Mungu mwema I'm boss naishi pazuri na maisha matamu let respect our hustle
 
Hakna maisha ya burudani na uhuru km kukaa ghetto, kwa jinsia zote yaan, siwezi rudi kuishi home kamweee, labda Jah apangue plans zangu.
Kabisa...hata kwa watoto wa kike ni jau kukaa home... imagine mtoto wa kike una geto lako kali...haudangi una ajira yako au biashara yako..kutwa busy unasaka zako hela...its crazy yani
 
Nilipangwa kikazi dsm serikalini office kubwa tu
Nikashukia kwa ndugu yangu mmoja ivi kula week tu anakanza usumbufu mara osha combo mara deli mara ogesha watoto nikawa nachoka tukashindwana akanitimua

Bhasi nikawa nalala gest per day 15 inaitwa Fiji ipo tabata chama nikaka pale week uku natafuta getto bhasi nikapata getto maeneo ya kurasini

Nikalipa kwa mwezi50 miezi 4 mana nilikuwa sina pakuishi na gest gharama sasa nikawa pesa nayo imekats na sina msada maan pesa ya Ajira mpyaa ilikuwa haija ingia

Kunamwana aliahidi atanipa godoro lakuanzia maisha siku nimelipa kodi Naenda kuamia sasa yule jama wa godoro akazingua ikabidi niwe nalala chini nitandika nguo dirishana Pazia lilikuwa Taulo ninayo ogea ilikuwa kisanga sanaaaaa bhasi tu nimeishi ivyo kwa week mbili

Mungu mwema I'm boss naishi pazuri na maisha matamu let respect our hustle
Umetisaha sana mkuu..huyo ndugu yako akataka akufanye house boy wake[emoji3][emoji3]
 
Unachomaanisha hapa watu wasifanye mapenzi labda wawe wameoana......

Kwa upande wangu me nafanya na niki-oa pia naendelea kufanya...

Kanisani ndo patakatifu labda, nyumba ya kupanga wewe huleti wenzako wanaleta huoni utakatifu wa hio nyumba umeshachafuka!!! [emoji849]

Au chumba chako kitakua kitakatifu afu vingine vyote sita(maibe) viovu.

Ata ndo watu wanaachana na kutalakiana kabisa... Kwaio kuachana kupo haijalishi......
Hujanielewa kumbe, sijasema msifanye mapenzi, ila hayo mapenzi unafanya na nani? Na sehemu ipi?
ghetto langu ni sehemu yangu takatifu, haijalishi ni nyumba ya kupanga au laah.
Uchafu wa m2 mwingne ktk ghetto lake unahusu nn kwangu me?
Sijakataa kua kuachana hakupo ila inategemea ni yupi unae achana nae.
Na mie sijakukataza wee usifanye, just nlkua najaribu kuuilza nijue hilo.
Sorry kwa hilo, relaaaaax
 
Kabisa...hata kwa watoto wakike ni jau kukaa hom... imagine mtoto wa kike una geto lako kali...haudangi una ajira yako au biashara yako..kutwa busy unasaka zako hela...its crazy yani
Ghetto inaleta heshima fulani mbele ya kadamnasi, unajitegemea mwenyeweeh.
 
Nilitoka kwetu Mwanza lengo ni kuja kutafuta maisha Dar, nilikuwa sipajui wala sijawahi fika. Kwenye bus nilikaa na jamaa mmoja hivi alikuwa anashuka Moro tulifahamiana tu kwenye bus tukawa washikaji sana akaniambia Dar pagumu utaibiwa.

Akanishauri nishuke Moro pale maisha rahisi yeye alikuwa anaenda Mzumbe chuo mwaka wa pili. Kweli nikashuka Moro bana mfukoni nilikuwa na laki 2.5 niliyotoka nayo home hiyo 2009. Nilikaa geust moja pale Masika wiki nalipa elfu nane per day bahati nzuri siku ya kumi nakaenda kiwanda cha tumbaku kuomba kazi na nikapata siku hiyo hiyo.

Kesho yake nikatafuta room maeneo ya Kihonda bei ilikuwa 15 nikalipia miezi 3 tu nikanunua godoro la elf 60 na redio ya Raising 18,000 na ndoo moja maisha yakaanza safi.

Sasa niko Dar si haba nilipofikia thaks God.
 
Mie nimeanza kazi mwezi wa tisa, nilikuwa nakaa kwa ndugu wa kuunga unga, mwezi wa 12 huyo ndugu yangu akaondoka akaenda xmas na familia nikaachwa na mdogo wake wa kike yuko form 2, yule ndugu yangu alipoondoka yule binti akaanza kushinda chumbani kwangu eti anasikiliza mziki, nikaona anakoelekea siko maana alikua hajatulia, nikapata room Ubungo kilikua kistoo nikasema nitakaa tu hivyo hivyo kuliko kubaki kule maana ingekuja kuwa aibu ya mwaka
 
Mie nimeanza kazi mwezi wa tisa,nillua nakaa kwa ndugu wa kuunga unga,mwezi wa 12 huyo ndugu yanga akaondoka akaenda xmas na familia nikaachwa na mdogo wake wa kike yuko form 2,yule ndugu yangu alipoondoka yule bint akaanza kushinda chumbani kwangu eti anasikiliza mziki,nikaona anakoelekea siko,maana alikua hajatulia,nikapata room ubungo kilikua kistoo nikasema nitakaa tu hivyo hivyo kuliko kubaki kule maana ingekuja kua aibu ya mwaka
mkuu mbna na hyo ilikuw kama fursa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nilitoka kwetu mwanza lengo ni kuja kutafuta maisha dar, nilikuwa sipajui wala sijawahi fika. Kwenye bus nilikaa na jamaa mmoja hivi alikuwa anashuka moro tulifahamiana tu kwenye bus tukawa washikaji sana akaniambia dar pagumu utaibiwa.

Akanishauli nishuke moro pale maisha rahisi yeye alikuwa anaenda mzumbe chuo mwaka wa pili.
kweli nikashuka moro bana mfukoni nilikuwa na laki 2.5 niliyotoka nayo home hiyo 2009. Nilikaa geust moja pale Masika wiki nalipa elfu nane per day bahati nzuri siku ya kumi nakaenda kiwanda cha tumbaku kuomba kazi na nikapata siku hiyo hiyo.
kesho yake nikatafuta room maeneoya kihonda bei ilikuwa 15 nikalipia miezi 3 tu nikanunua godoro la elf 60, na redio ya Raising 18,000 na ndoo moja maisha yakaanza safi.

Sasa niko dar si haba nilipofikia thaks God.
Mkuuu kumbe geto kitambo tu..umetisha sana
 
Mie nimeanza kazi mwezi wa tisa,nillua nakaa kwa ndugu wa kuunga unga,mwezi wa 12 huyo ndugu yanga akaondoka akaenda xmas na familia nikaachwa na mdogo wake wa kike yuko form 2,yule ndugu yangu alipoondoka yule bint akaanza kushinda chumbani kwangu eti anasikiliza mziki,nikaona anakoelekea siko,maana alikua hajatulia,nikapata room ubungo kilikua kistoo nikasema nitakaa tu hivyo hivyo kuliko kubaki kule maana ingekuja kua aibu ya mwaka
Ukaamua ulikimbie jumba bovu mkuu[emoji3]
 
Back
Top Bottom