kingkongtz
JF-Expert Member
- Dec 28, 2019
- 1,058
- 3,613
ila kwa inaboa hasa kwa kijana wa kiume 23+ yrs kukaa kwa wazaz,n vile tu maisha sio fairbado sijapata Hela ya SABUFA na KODI nakoswa 20k tu...ndo vimenikwamisha kidogo
Hivi huwa mnapata wapi ujasiri wa kuingiza chicks huko ghettos ili hali sio main, (husband/wife)?Ghetto bila kua na pisi ya kukutembelea utajisahau kuliweka kisasa
Hivi huwa mnapata wapi ujasiri wa kuingiza chicks huko ghettos ili hali sio main, (husband/wife)?
Heshimuni sehemu mnazofanyia maisha yenu. Ni hekalu takatifu lako hilo.
Nilicho kimaansha ni yule ambaye sio mume/mke,Nikuulize ile friendly tu ni Bora
Nikatoe pesa gesti ambayo kutwa kucha watu watoa laana zao kwenye ivyo vitanda na nuksi zao
Au nimkaribishe mpenzi wangu ninapo ishi.
Kwanza kumleta ninapoishi ni heshima fulani ivi....
Unachomaanisha hapa watu wasifanye mapenzi labda wawe wameoana......Nilicho kimaansha ni yule ambaye sio mume/mke,
It's ouk mnapelekana huko ghettos mwshoe mnaachan what's next?
Itakua n mwendo wa kubadilisha chicks, sasa hiyo heshima na hekima na baraka za ghetto zitatoka wapi?
Heshimuni sehemu mnazofanyia maisha yenu. Ni mahali pakatifu kwako.
Kabisa...hata kwa watoto wa kike ni jau kukaa home... imagine mtoto wa kike una geto lako kali...haudangi una ajira yako au biashara yako..kutwa busy unasaka zako hela...its crazy yaniHakna maisha ya burudani na uhuru km kukaa ghetto, kwa jinsia zote yaan, siwezi rudi kuishi home kamweee, labda Jah apangue plans zangu.
Umetisaha sana mkuu..huyo ndugu yako akataka akufanye house boy wake[emoji3][emoji3]Nilipangwa kikazi dsm serikalini office kubwa tu
Nikashukia kwa ndugu yangu mmoja ivi kula week tu anakanza usumbufu mara osha combo mara deli mara ogesha watoto nikawa nachoka tukashindwana akanitimua
Bhasi nikawa nalala gest per day 15 inaitwa Fiji ipo tabata chama nikaka pale week uku natafuta getto bhasi nikapata getto maeneo ya kurasini
Nikalipa kwa mwezi50 miezi 4 mana nilikuwa sina pakuishi na gest gharama sasa nikawa pesa nayo imekats na sina msada maan pesa ya Ajira mpyaa ilikuwa haija ingia
Kunamwana aliahidi atanipa godoro lakuanzia maisha siku nimelipa kodi Naenda kuamia sasa yule jama wa godoro akazingua ikabidi niwe nalala chini nitandika nguo dirishana Pazia lilikuwa Taulo ninayo ogea ilikuwa kisanga sanaaaaa bhasi tu nimeishi ivyo kwa week mbili
Mungu mwema I'm boss naishi pazuri na maisha matamu let respect our hustle
YayaUmetisaha sana mkuu..huyo ndugu yako akataka akufanye house boy wake[emoji3][emoji3]
Hujanielewa kumbe, sijasema msifanye mapenzi, ila hayo mapenzi unafanya na nani? Na sehemu ipi?Unachomaanisha hapa watu wasifanye mapenzi labda wawe wameoana......
Kwa upande wangu me nafanya na niki-oa pia naendelea kufanya...
Kanisani ndo patakatifu labda, nyumba ya kupanga wewe huleti wenzako wanaleta huoni utakatifu wa hio nyumba umeshachafuka!!! [emoji849]
Au chumba chako kitakua kitakatifu afu vingine vyote sita(maibe) viovu.
Ata ndo watu wanaachana na kutalakiana kabisa... Kwaio kuachana kupo haijalishi......
Ghetto inaleta heshima fulani mbele ya kadamnasi, unajitegemea mwenyeweeh.Kabisa...hata kwa watoto wakike ni jau kukaa hom... imagine mtoto wa kike una geto lako kali...haudangi una ajira yako au biashara yako..kutwa busy unasaka zako hela...its crazy yani
mkuu mbna na hyo ilikuw kama fursaMie nimeanza kazi mwezi wa tisa,nillua nakaa kwa ndugu wa kuunga unga,mwezi wa 12 huyo ndugu yanga akaondoka akaenda xmas na familia nikaachwa na mdogo wake wa kike yuko form 2,yule ndugu yangu alipoondoka yule bint akaanza kushinda chumbani kwangu eti anasikiliza mziki,nikaona anakoelekea siko,maana alikua hajatulia,nikapata room ubungo kilikua kistoo nikasema nitakaa tu hivyo hivyo kuliko kubaki kule maana ingekuja kua aibu ya mwaka
Mkuuu kumbe geto kitambo tu..umetisha sanaNilitoka kwetu mwanza lengo ni kuja kutafuta maisha dar, nilikuwa sipajui wala sijawahi fika. Kwenye bus nilikaa na jamaa mmoja hivi alikuwa anashuka moro tulifahamiana tu kwenye bus tukawa washikaji sana akaniambia dar pagumu utaibiwa.
Akanishauli nishuke moro pale maisha rahisi yeye alikuwa anaenda mzumbe chuo mwaka wa pili.
kweli nikashuka moro bana mfukoni nilikuwa na laki 2.5 niliyotoka nayo home hiyo 2009. Nilikaa geust moja pale Masika wiki nalipa elfu nane per day bahati nzuri siku ya kumi nakaenda kiwanda cha tumbaku kuomba kazi na nikapata siku hiyo hiyo.
kesho yake nikatafuta room maeneoya kihonda bei ilikuwa 15 nikalipia miezi 3 tu nikanunua godoro la elf 60, na redio ya Raising 18,000 na ndoo moja maisha yakaanza safi.
Sasa niko dar si haba nilipofikia thaks God.
Ukaamua ulikimbie jumba bovu mkuu[emoji3]Mie nimeanza kazi mwezi wa tisa,nillua nakaa kwa ndugu wa kuunga unga,mwezi wa 12 huyo ndugu yanga akaondoka akaenda xmas na familia nikaachwa na mdogo wake wa kike yuko form 2,yule ndugu yangu alipoondoka yule bint akaanza kushinda chumbani kwangu eti anasikiliza mziki,nikaona anakoelekea siko,maana alikua hajatulia,nikapata room ubungo kilikua kistoo nikasema nitakaa tu hivyo hivyo kuliko kubaki kule maana ingekuja kua aibu ya mwaka