kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,872
- 16,319
nimeielewa budget yako mkuu...imekaa mkao sana
Ukitumia vibaya
Wenye crown watakulushia matope daily[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
By the way cheers [emoji1635] Boss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimeielewa budget yako mkuu...imekaa mkao sana
Mkuu umetisha ila nikupe tip. Faza mjengo akikuruhusu ukapiga rangi huo ukuta patakua pametisha zaidi
Mh! hii ya leo balaa,,, kila MTU nilipomaliza chuo,, ooh! First year, watu tumetoka mbali... Kitendo cha kumaliza la saba ndo tiketi ya kuhama nyumbani. Nakumbuka kauli ya mzee huu ndo mlo wako wa mwisho cha ajabu sikumuelewa kilichonikuta asbuh nilijikuta natimuliwa ndani kama mbwa koko aliyekosea njia.nikijichek nimevaa kaptula na kaushi nikajichanganya kitaa.. okota skrepa sana!! nikajichanganya car wash zoote nikawa najulikan mwish wa siku nikaingia geleji. Ila geto letu ndo lilikua balaa watu 14 chin maboksi utajua pakula alafu kunuka kam beberu ilikua kawaida
Mpaka sasa Mimi niko geto sababu ya hamasa za huu uzi na maisha yanaenda poa sana tu. Big up sana WalecLengo langu ni kununua king'amuzi cha Azam tv as soon as nikipata hela...kwa mnaofahamu ningependa mnijuze, sasa hivi king'amuzi kimekaa kwa bei gani...
NB: Huu uzi ndio ulinifanya nizidishew hamasa ya kujitegemea na kujiunga JF..BIG UP kwa mwandishi
Hahaah unamix mangoma tuView attachment 1708517
Leo nachezea tu pc
Maishani bajeti ni muhimu sana mkuu, kwa bajeti hiyo ukiisimamia unapiga hatua bila shida.Pesa inahitaji nidhamu sana!
Usiitumie kama hakuna ulazima!
Uwe na sababu ya kila sent inayotoka kwenye mfukowako!
Kama wew umeajiliwa hakikisha una hesabu kamili ya hela unayoitumia kwa siku
Kisha bundle za simu na mambo madogo madogo zitokee humo humo kwa mfano!
Mim kwa siku nimesema ntatumia 5000
Asubuhi chai buku!
Mchana 2000 usiku 2000
Ila mala nyingi usiku hua nanunua viazi 1000 (nakula siku2)
Nyanya za kachumbal na 500 na vizaga vya 500 hivi vitu nnatumia siku2
Inamaana kwsho yake ntabaki na 2000 ya usiku
Hizi ndio hua natumia kununua bando ,mayai,visoda soda au sabuni au dawa za meno nkiwa nauhitaji nazo!
Hahaah unamix mangoma tu
Maishani bajeti ni muhimu sana mkuu,kwa bajeti hiyo ukiisimamia unapiga hatua bila shida.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie tangu nime join chuo, sijawahi ishi hostel.Ww si unalala hostels bwanaaa [emoji3]
Aisee hebu nipe invitation siku moja[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie tangu nime join chuo, sijawahi ishi hostel.
Nikikuleta kwangu wallah hutoamini, master yenye sebule imesheheni kila unachokijua, hapa nataka kununua jiko la umeme.
Pesa zangu huwa zunashia ghetto, hakna kitu nachopenda km kuishi sehemu nzuri. Ntakukaribisha usjar.Aisee hebu nipe invitation siku moja[emoji3]
Hebu pichaMie ghetto kwangu kupo vizuri, kila kitu knakaa mahali pake na kwa usahihi, naheshimu San sehem ambayo maisha yangu yanafanyika hapo.
Mkuu ebu tupeane connection unapiga mishe gani kiongoz upo under 23 lkn vitu unavyomiliki ni hatàr anyway hongera lkn big up focusNmeanza kukaa geto nna takribani mwaka na robo, sikuondoka na mia ya mzazi, nna fridge, kitanda, dstv, TV na kila chombo, kodi nalipa 150K, nshanunua na Gari, nmenunua kiwanja, na nategemea mwezi wa 5 nianze ujenzi ila mniombee maana mpaka sahivi nna balance ya 4M na kiwanja nmenunua 10M+ ilna sina mkopo sehem yoyote, na bado niko under 23, tuombeane wakuu
mzee una vyeti vyenye qualification gani, tuanzie hapoMkuu ebu tupeane connection unapiga mishe gani kiongoz upo under 23 lkn vitu unavyomiliki ni hatàr anyway hongera lkn big up focus
Nipe code na mm mkuuu nichomoke mahome maana sielewi
hahahaha kwann mkuuDaaa Mkuu hapa Utakuwa unakula Kimasihara sana duuu[emoji851][emoji109]
Mkuu..5000 per day ndio bajeti yangu..ikizidi huwa naumia sana mzee...maana kipato kidogo kweli..lakini sikufichi mkuu, bila kuweka bajeti kama hizi huwezi kutoboa...ni changamoto sana kuishi kwa 5000 kwa siku hasa maeneo ya town ila ndoivo no way out...Pesa inahitaji nidhamu sana!
Usiitumie kama hakuna ulazima!
Uwe na sababu ya kila senti inayotoka kwenye mfuko wako!
Kama wewe umeajiriwa hakikisha una hesabu kamili ya hela unayoitumia kwa siku
Kisha bundle za simu na mambo madogo madogo zitokee humo humo kwa mfano!
Mimi kwa siku nimesema ntatumia 5000
Asubuhi chai buku!
Mchana 2000 usiku 2000
Ila mara nyingi usiku huwa nanunua viazi 1000 (nakula siku2)
Nyanya za kachumbali na 500 na vizaga vya 500 hivi vitu natumia siku2
Ina maana mwisho wake ntabaki na 2000 ya usiku
Hizi ndio huwa natumia kununua bando, mayai, visoda soda au sabuni au dawa za meno nkiwa nauhitaji nazo!