Ulianzaje kukaa gheto?

[emoji16][emoji16] ndo heshima hyo mkuu... geto halijakuponza...limekuheshimisha

Sasa ulivyokua hom walikua wanakuona mtoto tu

Ww pambana wape hyo 50 yao...kuna kitabu nilisoma mwezi ulopita,kinaitwa "The secret" kina sema sheria ya kuingiza ni kutoa..simple

Ili utoboe lazma utoe..ukitoa maana yake unacho hivyo una attract pesa zaidi..ila sio kuhonga...

Hiki kitabu tangu nisome napata hela bila sababu za msingi...yani dah[emoji16]
 

Kuna mtu alishawahi kurecommend nikisome, em ngoja nitafute pdf chap.
 

Nikupongeze kwa kucheza na tano mambo mkuu
Sio wote tunaweza japo wapo wanaocheza chini hapo
Kuhusu kukupangia hayo ni majikumu mzee baba
Jamii inakupa vyeo vikubwa,ukikataa wataona muongo
Hata dk 30 hazijapita naingia wasp kuna x mstaarabu ameniomba aniweke kwenye group la harusi yake duh[emoji1316]
 
shukran sana mkuu,elimu muhimu sana hii skuwahi ipata🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…