Mdogo mdogo mwanga utaonekana ilimradi nia ipo, hakuna kinachoshindikanaDah nimemalza chuo mwaka huu nikaona kwenda home na kukaa bila mchongo itakua jam nikaja Arusha nmefikia gheto kwa mshkaji na mimi ni mgeni huku sina pesa ya kuanza kama mtaji na sina ramani hapa natafuta mishe yeyote halali niifanye japo naona mbele giza
Simamisha michongo vizuri kabla ya kutoka maana laifu ukiliingia kichwa kichwa unaweza rudisha mpira kwa kipaMim mwaka huu hauishi mkuu
Too good to be true..So kupitia mimi hope mtajifunza vijana wenzangu kuwa endapo utalitumia vizuri basi hakika maisha yak yatabadilika.pia la mwisho ni kumtafuta mwenza mwenye maono ila uiangukia kwa kwa hawa makahaba wa mjini utaishia kuhangaika mwisho wa siku unarudi nyumbani ukiwa na miaka 40,bila kufanya lolote
Jerrybanks
Mdogo mdogo mwanga utaonekana ilimradi nia ipo, hakuna kinachoshindikana
Bora ww mkuu...hapo kukaza tu soon unavuta geto lako
rud Magheton Akili inakuaNdio hivyo kaka..najipanga tena
kinoma noma TunaEnjoy sanaMnaoishi ghetto mna raha
Kwetu ukiyataka hayo maisha hadi uolewe tena sio kujaa gheto ila kwa mumeokinoma noma TunaEnjoy sana
mtoto wa kike Unakaaje Ghetto sasa??? Sio SawaKwetu ukiyataka hayo maisha hadi uolewe tena sio kujaa gheto ila kwa mumeo
Sio ghetto.. Vile kuhama home na kuanza maisha yako hata kwa kupanga chumba kimojamtoto wa kike Unakaaje Ghetto sasa??? Sio Sawa
Wazaz/walez wapo sawa Kuwakatalia.
wazaz wapo sawa sabab wanaamin Mtoto wa kike anahitaj uangalizi wa karibu zaidi kuliko mtoto wa kiumeSio ghetto.. Vile kuhama home na kuanza maisha yako hata kwa kupanga chumba kimoja
sidhaniwazaz wapo sawa sabab wanaamin Mtoto wa kike anahitaj uangalizi wa karibu zaidi kuliko mtoto wa kiume