Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Dah nimemalza chuo mwaka huu nikaona kwenda home na kukaa bila mchongo itakua jam nikaja Arusha nmefikia gheto kwa mshkaji na mimi ni mgeni huku sina pesa ya kuanza kama mtaji na sina ramani hapa natafuta mishe yeyote halali niifanye japo naona mbele giza
Mdogo mdogo mwanga utaonekana ilimradi nia ipo, hakuna kinachoshindikana
 
So kupitia mimi hope mtajifunza vijana wenzangu kuwa endapo utalitumia vizuri basi hakika maisha yak yatabadilika.pia la mwisho ni kumtafuta mwenza mwenye maono ila uiangukia kwa kwa hawa makahaba wa mjini utaishia kuhangaika mwisho wa siku unarudi nyumbani ukiwa na miaka 40,bila kufanya lolote
Jerrybanks
Too good to be true..
 
Back
Top Bottom