Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Ndugu yan nilipanga kutoka tangu mwezi wa 7....sema kila ikipatikana hela naweka kweny biashara....nataka niwe stable kbsaa...ila mwezi huu afe kipa afe beki....!!am in marathon
Hahah yani make sure unahama kweli..vinginevyo unashangaa mwaka unaisha upo tu...inahtaj commitement kweli...kunakuaga kama na kauzito kutoka
 
Kutokana na masharti ya mzee nilishindwa kuvumilia, kwanza nilitoka kijijini kuja DAR na nikawa nakaa kwa baba mdogo hata chuo pia nilikuwa naenda na kurudi home wakati huo tunakaa buguruni.

Kitu cha kwanza kilichokuwa kinaniboa ni kupangiwa muda wa kurudi home , saa mbili hujarudi utakutana na sms upo wap usiku wote huu, nikiwa kwenye mpira sasa utakuta sms njoo uende mwananyamala kwa shangazi yako upeleke kitu fulani daaah nilikuwa naboreka kupita maelezo ukizingatia ni kwanzaa dakika ya 55 manchester united vs chelsea enzi za kibabu fergie wanaojua mpira watanielewa vizuri hapa.

nilichofanya nikaenda dukani wanapouza vitanda na magodoro nikaongea na muuzaji nilipe kidogo kidogo wakanikubalia, kitanda na godoro nikaambiwa laki tatu na ishirini nikalipa laki na nusu nikapewa risiti nikasepa kwa makubaliano mwezi unaofuata nikamalizie, hiyo mipango nilikuwa naifanya bila mzee kujua .

MUNGU SI ATHUMANI nikamaliza deni kitanda na godoro nikampa mshikaji wangu wa tabata akae navyo nikawa naunga pesa ya kodi ya miezi sita chumba ni 35000 kwa mwezi kwa miezi sita ni 210,000.

Hatimae nikapata chumba na nikakilipia nikahama kwa mzee japo ilikuwa mbinde kukubali nihame kwao lakini nilihama na kujiamulia mambo yangu hata mpira wa saa nne usiku nilikuwa naangalia bila wasiwasi. kukaa kwako unakuwa huru na akili inakomaa sio kukaa kwa baba au mama muda wote.
 
Basi ndugu,kuna muda ulifika baada ya promotion kupita pesa ikawa ngumu sana,nikaamua nikaendelee na shule( Hapo nilikua nishapitisha mwaka mmoja wa masomo,kwani nilifaulu kidato cha nne).
Nilikua naenda kazini ile nikitoka shule. Hadi naanza chuo nilikua nimepiga hatua kwa kiasi fulani. Hivi ninavyoongea sipo ghetto bado,nina kwangu.

Jambo la msingi ni kujiamini na kuweka nia katika kile unachokifanya.
Tuwe na "UTHUBUTU"
Daahh
 
Mkuu una uandishi mbaya sana,
Jitahidi kuandika kama msomi uliefika Chuo.
Daaaah!! mwanzo mgumu kinomaaa nakumbuka toka form one nlikaaa bweni... nmemalza four nkafaul then nkaenda shul singida napo n bwen yan ugali maharage daily na kulal kweny madeka ofcoz niliyachukia san maisha ya kukaa bwen ilifk point nilitaman hata nkae day lakin n mkoa w watuu ntakaa kwanan ikabd nkomae lkn nlichukia maisha ya bweni na still now nayachukia huw najskia vibay nnavyoona madeka sehem. bas nkafankiw kumlza six ile nmerud hom paap kwamujib washeria hii hap ndio nlichok kabsa nkaend mzee n doso lakufa mtuuu nilzd kuchukia tuu maisha na niliapa nkifk chuo hat km kun hostel ctakaa hostel mm acha nkatesek gheto bas nakumbk tokeo lilitk tukaruhusiw tukafany application then nkafany nkarud ili nichukue gamba langu at the end course ikaish nkarud hom nkaa kidg then nkawa nmeend chuo xx ile nmefk nmeambiw hom nkalipe ada ya hostl il nmefk chuo nafany registration siku yakwanz nkakutn na jamaa nlisom nae o-level bas nkamshawsh tukaend tafta room mtaan akatoa kod ya miez mi3 na mm m3 tukaend sokon tuknunua godoro, nakumbuk jiko la mchina na baadh ya vyomb na mashuka kam dhal maish yakaanza sahyo hom wanajua nakaa hostel yaan dah sitasahau nlichukulia maish ya gheto n normal but ikfk kipnd sna hela wal nn aseee sitasahau nilishnda siku 3 kwakunywa kandoro na skonz bas nkapat hel kam kawaid boom nkamwambia rafk ang tununue mazag ya ndan akazngua akasem hatujaj kutalii mjin hp tuish kigum nliumia san coz nilijua anahela af tukichanga tungenunua ht kitanda nilishkwa na hasr nkaenda hel nkanunua mwenyew kitanda 150, 5×6 nkanunua mtung mdgo wa ges nkachukua nafen bas nkalet ghetooo jamaa akafurah knoma noma life likasongaa jpo nlishkw na hasra jamaa amekataa kuchangia af anapkia ges yang ila ndiohvy aliku mwana wang tukaendelea kuish kibsh maish hvyo hvy sku mnadaiw hela ya umem tunaend kweny ghet la masel tunakaa ht cku mbl tukipt hel tunarud daah hvyohvy sem jamaa alikua hatk kuskia kuchangia kunua vtu vya ghet ye hel ake n nguo na bata kam loteee bas nkajkz nkaendelea nunua vtu vdg vdg wakt namalza semistr nkanunua redia 250 spk sita sony nkaipak ghet jamaaa ananiangalia tu anasem nkimlza tu chuo ntaviuz kwa bei y hasarbas nkarud hom lkzo.....
 
[emoji38][emoji38][emoji38] we jamaa kiboko....ila nice mkuu umesepa hom...Sasa uyo manz wako akikuta huu uzi utapata tabu mkuu
Ilikuwa kitambo sana hata sasa sijui yupo wapi but ninachojua ameolewa na ana familia
 
Daaah!!nimekumbuka mbali Sana,Yani nimeanza gheto na godoro limechoka Yani unalala mbavu zinauma hadi unaamua kuamka usingizini upumzike kidogo halafu unarudi Tena kulala!!
Hahah pole sana mkuu...ila najua leo sio kama jana
 
Daaaah nimekumbukaa mbali sana nimemaliza chuo 2015 nimesota mno 2016 nikajilipua nikatoka home kigambon mpaka tabata cna kaz uzur nilikuwa nakila kitu kuanzia godoro kitanda fen redio tv chumba 70k nikalipa six month pesa niliomba nikabakia na laki hiv piga mishe kitaa na laki ikakata maisha yakawa magum sana nikawa nafanya kaz yyte iliyopo mbele yangu nimebeba tofali nimeuza sabun lkn wap baada ya miez mitano nikarudisha mpira kwa kipa nikaenda home nikakaa miez mitano nikasepa tena nikaona nihame mkoa mpaka sasa niko arusha mi siiti gheto naita nyumba sahiv nipo nishazoea
Umetisha sana mkuu
 
Hii thread inanihamasisha mpango nnaotaka kuufanya mwezi huu....nimeahirisha kupanga kwa miezi mi3 nikiwa naweka kwanza biashara yangu vizuri

Now nipo fresh...biashara inaenda nna mpango mwezi huu tar 30 nichomoke

Sema napo km nnaanza kuahirisha...nataka pia hela ya mwezi huu niiweke kwenye biashara


Ila kiukweli kabisaa nmeamua mwezi huu kusepa

Sofa lipo tyr
Kitanda tyr
Subwoofer lipo tyr
Vyombo kila kitu tyr
Bado carpet tyuuu

Ukikaa gheto akili inakua
Mkuu naamini saiz ushasepa [emoji16]
 
Mi mwanzoni sikutaka kuondoka home maana niliona ka sijajipanga. Mzee alinipa kazi ya mshahara ila siku ananipa akaniambia utaondoka baada ya miezi 3. Mi ikapita nikajikausha ila nishanunua vitu vya maandalizi. Siku moja kaniita kaniambia unaondoka kwangu lini. Niliondoka kishingo upande ila nashukuru. I can now stand on my feat. He taught something using the hard way and am proud of his actions thou i had planed to shift after six month. I was waiting to purchase everything.
 
Mi mwanzoni sikutaka kuondoka home maana niliona ka sijajipanga. Mzee alinipa kazi ya mshahara ila siku ananipa akaniambia utaondoka baada ya miezi 3. Mi ikapita nikajikausha ila nishanunua vitu vya maandalizi. Siku moja kaniita kaniambia unaondoka kwangu lini. Niliondoka kishingo upande ila nashukuru. I can now stand on my feat. He taught something using the hard way and am proud of his actions thou i had planed to shift after six month. I was waiting to purchase everything.
Bless mkuu...mzee alikua mkaksi ila ndio alikua anakuandaa na maisha..
 
Kufupisha story ni kwamba gari ile niliifanya uber kipindi hicho ndo uber imeanza hope nilizisha mapambano kwani nlikuwa nahakikisha nalaza laki kila siku ya mungu na wife wakati yupo na ujauzito mkubwa akaajiri mtu wa kusambaza vitu vyake kwa wateja huku na mimi nikisambaza vyangu kwa gari huku wakati mwengne nikimsambazia na yeye,mwisho wa siku nilifungua duka ambalo wife baada a kujifungua akawa ndo msimamizi na pia deni la mzee la 20k kila siku nililitimiza na mwisho wa siku gari ikawa yetu,nakumbuka siku ya harusi babamkwe akatupa kiwanja kwa ksema altupa mtihani wa kujinunulia wenyewe means ile hela tulokuwa tunampa kila siku aliitu za na kutununulia zawadi ya kiwanja huk nasi tukiwa na vingine vitatu hiyo ndo story yangu ya geto ambayo imenipa mke na nyumba ambayo naimalizia now,watoto wangu mapacha,pamoja na gari 3,maduka na biashara nyingine na kunifanya nisahau kuajiriwa japo nna degree yangu ya first class
Very inspiring....wewe ni mwanaume! Mkeo na wakwe wako ni vifaa vya moto pia! Usisahau kumshukuru Mungu!
 
Back
Top Bottom