Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
KwakweliHaya wale mlioahidi mwezi wa tatu kuingia magethoni tunaomba mrejesho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KwakweliHaya wale mlioahidi mwezi wa tatu kuingia magethoni tunaomba mrejesho.
[emoji16]Haya wale mlioahidi mwezi wa tatu kuingia magethoni tunaomba mrejesho.
Sawastory ndefu kiasi,
maana nilianza kukaa geto baada ya kidato cha 4, kisha nikaenda Alevel, kumaliza geto na wandugu zangu wa kuzaliwa, maana tulikuwa yatima.
napata kazi yangu ya kwanza, nimewasili kituoni moshi huko, jamaa akaniambia chumba hicho na godoro la mkopo hilo utalipa kwa miezi mi3, hiyo likuwa mwaka 2003.
2004 nikarudi chuo tena, kumaliza tena geto.
nikapata wenzangu, nikaoa ndoa takatifu ndani nina godoro tu, week mbili za kwanza mpaka akaletewa kila kitu cha home, kutoka kwao.....
leo yote yamepita nina kila kitu katika maisha kijana anahitaji kuwa navyo.... naamini unajua! sina haja ya kuvitaja
Nilivyomaliza chuo tu nikapata kibarua cha kujishikiza na walikuwa wananilipa 100k kwa mwezi,chakula na usafiri bure nikaona si sawa na kukaa home,bora nikubali.
Sasa baada ya miezi mitatu tu kuanza kibarua,maneno yakaanza naanza lini kujitegemea,mana hapo nilikuwa naishi kwa baba mdogo.
Nikaona si kesi mwezi uliofuatia nikanunua godoro,nikatafuta chumba nikapata cha elf 15,kwasababu sikuwa na vitu vingi nikamuomba jamaa mmoja muuza maji anibebee vitu vyangu kwenye mkokoteni wake nikampoza elfu 2,ndo maisha yakaanza hapo mwaka 2007 hadi leo nashukuru Mungu nilishasimama vizuri.
poa...Sawa
yupo pale....Hongera sana mkuu, Mungu na azidi kubariki kazi za mikono yako/yenu
Huwa wanasema ukianza na mwenza mf. mume akiwa hana kitu ,siku akipata ni shida anabadilika hasa kwa mkewe na kusahau walikotoka pamoja, vipi hiyo unaonaje kwa upande wako,je bado uko na babe wako yule yule mlotoka naye mbali?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee...siku za mwanzo za kuishi ghetto..huwa zina kahali flani hivi ka upweke.. nakumbuka mimi nilikuwa nafunga safari toka dar kwenda home moshi mara kwa mara coz nilikuwa najiona mpweke sana.
Hahaha mkuu unaona sababu ndogo hiyo?kwangu ni big deal,hasa nikiwa naenda mkoa wenye maambukizi yanayokua....sema ngoja ikipungua utaona mwenyewe,ntaleta mrejesho hatua kwa hatua.Acha excuse boss [emoji119]
Sent from my SM-G9550 using Tapatalk
Hahah mkuu siku utapolala kwako hutatamani kurudi home bwana TransporterNilipanga kuhama home mwezi huu Nimelipa kila kitu tayari changamoto bado napapenda home Kama Nina kauoga hivi kila siku nasema kesho nahamia jumamosi jumapili hii week ya 3 sasa napeleka nanunua vitu nikitoka mission napeleka Baada ya muda nafunga mlango narudi home nasema bado bado
Maombi yenu jamani wadau
N.B motisha imetokea kwenye huu uzi nilipania mwaka huu naenda kwangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah mkuu siku utapolala kwako hutatamani kurudi home bwana Transporter
Nilipanga kuhama home mwezi huu Nimelipa kila kitu tayari changamoto bado napapenda home Kama Nina kauoga hivi kila siku nasema kesho nahamia jumamosi jumapili hii week ya 3 sasa napeleka nanunua vitu nikitoka mission napeleka Baada ya muda nafunga mlango narudi home nasema bado bado
Maombi yenu jamani wadau
N.B motisha imetokea kwenye huu uzi nilipania mwaka huu naenda kwangu
Sent using Jamii Forums mobile app