miminimkulimaakachekasana
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 3,263
- 4,730
dah mko vizuri sana mkuuMimi wasela wangu wote hakuna wakuleta demu kwa msela yeyote yule. In short mimi ni mbaguzi sana kwenye suala la urafiki, marafiki zangu wote tunafanana akili na mawazo.
Kwanza nyumba nzima tunakaa wanachuo na wote tunaingia 2nd yr ila huwezi amini kila mmoja aliwahi kuja na demu mmoja tu na si zaidi ya hapo. Mwenye nyumba hata hatumjui kusema anazingua.