Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Mimi wasela wangu wote hakuna wakuleta demu kwa msela yeyote yule. In short mimi ni mbaguzi sana kwenye suala la urafiki, marafiki zangu wote tunafanana akili na mawazo.

Kwanza nyumba nzima tunakaa wanachuo na wote tunaingia 2nd yr ila huwezi amini kila mmoja aliwahi kuja na demu mmoja tu na si zaidi ya hapo. Mwenye nyumba hata hatumjui kusema anazingua.
dah mko vizuri sana mkuu
 
Mkuu acha tu semester iliyopita nimetoka kugombana na mwanang ambaye tumekuwa marafiki toka tupo advance pale kwa faza pekupeku aisee jamaa alikuwa anakuja kutafunia watu wake getoni mwangu yaan ilikuw kila ikifika weekend mshakj huyu hapa jumapili jioni Huyo anarud zake ostel aisee nimefua sana madude watu af mshakaj anaona simple tu final semester ya mwaka wa kwanza imekata juz kat hapa naona mshakj ananiletea swaga za kukaa wote aisee huwez amin nilivyomkataa maana nimedhalilika kinyama
Sema kama ni mtu mzima atakuja kukuelewa tu sio ishu kubwa
 
IMG_0048.jpg

Blue light nyuma apo[emoji16]
 
Mimi moja ya shauku yangu kubwa ni kupanga ñdo first priority kwa sasa natarajia next year Mungu akijalia nitakuja hapa kuleta mrejesho wapi nilipo fikia najua haitakuwa Kazi rahis lkn Nia dhamira na shauku ninayo


Lengo langu ni hivi kuanzia sasa naanza kununua mazaga kidogo kidogo ya kigheto kama kuchonga kitanda , kununua godoro meza gesi navikusanya taratibu kabati mdogo mdogo ili kupunguza mzigo



This is my time 24 years old

Sent using Jamii Forums mobile app
mazaga yote hayo
 
Nimefatia huu huzi kwa mda Sasa Nina miaka 22 nataman Sana kukaa gheto ili nijue changamoto za maisha na naamin akili itakua Zaid. Ila ninashida moja familia yetu ilihamia mjin dar kwa hiyo mim nikabaki huku mkoani maana nimeajiliwa nna kazi uku so mam na madogo wapo uko mi niliachiwa mji uku ndo natunza nyumba na nnaendesha maisha yangu vizur tu Niko mwenyewe.uwezo wa kupanga gheto nnao hata Sasa na napenda Sana. Any advice??
Mkuu kwakua ww ushaachiwa mji kua mpole...sema anza kununua vitu vyako..invest pesa yako...save zingine... siku wakirud wenye mji we unasepa zako

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Kufupisha story ni kwamba gari ile niliifanya uber kipindi hicho ndo uber imeanza hope nilizisha mapambano kwani nlikuwa nahakikisha nalaza laki kila siku ya mungu na wife wakati yupo na ujauzito mkubwa akaajiri mtu wa kusambaza vitu vyake kwa wateja huku na mimi nikisambaza vyangu kwa gari huku wakati mwengne nikimsambazia na yeye,mwisho wa siku nilifungua duka ambalo wife baada a kujifungua akawa ndo msimamizi na pia deni la mzee la 20k kila siku nililitimiza na mwisho wa siku gari ikawa yetu,nakumbuka siku ya harusi babamkwe akatupa kiwanja kwa ksema altupa mtihani wa kujinunulia wenyewe means ile hela tulokuwa tunampa kila siku aliitu za na kutununulia zawadi ya kiwanja huk nasi tukiwa na vingine vitatu hiyo ndo story yangu ya geto ambayo imenipa mke na nyumba ambayo naimalizia now,watoto wangu mapacha,pamoja na gari 3,maduka na biashara nyingine na kunifanya nisahau kuajiriwa japo nna degree yangu ya first class
Your my role model. I salute you Bro.
 
Kwa wenye uzoefu godoro la 4x6 ni bei gani.
Naombeni jibu wakuu.
Na brand nzuri kama hamtojali.
Bei cjajua...ila GSM iko imara sana....mm nilimnunua mdogo wangu...mwaka wa 3 sasa..liko jipya...lilikuwa 10' 5X6...bei 270K

(Inch 10)
 
Back
Top Bottom