Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Najua vijana wenzangu mpo, huu uzi ilini inspire kukaa ghetto. Na nikaamua ghetto kweli single room toka 2019 mwezi wa pili mwishoni.

Nikaanza harakati zangu mwenyewe nikiwa napiga dili ngumungumu Kama kuchimba mawe, kuvunja kokoto, kupakia mchanga, kuchimba kifusi n.k ili tu kujitafutia ridhiki. Ila dili kubwa ilikua kuvunja mawe.

Baadae nikafikiria kukuza kazi yangu ili inilipe zaidi, nikafikiria kuvunja mawe kitaalam kea kutumia mashine.
Ishu ikawa ni kuitafuta hyo mashine maana ni bei kubwa nisiyoiweza kuimudu.

Nilifikia uamuzi wa kuweka bondi mali za mzee nikapata hela ya kununulia hyo mashine (milioni 13).
Nikaanza mishemishe na hyo mashine nashukuru mradi umeenda vzr naweza kuzalisha Hadi kaki 6 kwa mwezi na kuendelea,
Nikaweza kufanikiwa kununua karasha la kokoto ingawa bado halijaanza kazi, pia ningeweza kukunua gari ndogo kea ajili ya kuvutia mashine yangu ili kwenda nayo site kuifanyia kazi.

Ila ghetto sikuongeza kitu chochote kile. Hapa nimepanga mwakanii ndio nilihudumie ghetto langu lipendeze.
Vijana wenzangu tupambane tu mtaani.

Kwa udhamini wa picha.View attachment 1650279View attachment 1650280View attachment 1650281View attachment 1650282
20201209_112441.jpg
 
Najua vijana wenzangu mpo, huu uzi ilini inspire kukaa ghetto. Na nikaamua ghetto kweli single room toka 2019 mwezi wa pili mwishoni.
Nikaanza harakati zangu mwenyewe nikiwa napiga dili ngumungumu Kama kuchimba mawe, kuvunja kokoto, kupakia mchanga, kuchimba kifusi n.k ili tu kujitafutia ridhiki. Ila dili kubwa ilikua kuvunja mawe.
Baadae nikafikiria kukuza kazi yangu ili inilipe zaidi, nikafikiria kuvunja mawe kitaalam kea kutumia mashine.
Ishu ikawa ni kuitafuta hyo mashine maana ni bei kubwa nisiyoiweza kuimudu.
Nilifikia uamuzi wa kuweka bondi mali za mzee nikapata hela ya kununulia hyo mashine (milioni 13).
Nikaanza mishemishe na hyo mashine nashukuru mradi umeenda vzr naweza kuzalisha Hadi kaki 6 kwa mwezi na kuendelea,
Nikaweza kufanikiwa kununua karasha la kokoto ingawa bado halijaanza kazi, pia ningeweza kukunua gari ndogo kea ajili ya kuvutia mashine yangu ili kwenda nayo site kuifanyia kazi.
Ila ghetto sikuongeza kitu chochote kile. Hapa nimepanga mwakanii ndio nilihudumie ghetto langu lipendeze.
Vijana wenzangu tupambane tu mtaani.

Kwa udhamini wa picha.View attachment 1650279View attachment 1650280View attachment 1650281View attachment 1650282View attachment 1650283
Hongera sana....vipi mali za mzee ulifanikiwa kuzigomboa?
 
Safi sana mkuu...huu ndio umwamba
Kila lakheri kwenye harakat zako..hongera kwa kuchomoka zako hom
 
Back
Top Bottom