Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Nimeingia chuo mwaka wa kwanza mwaka Jana ....ila nikaona kukaa hostel kwa mwanaume ni ngumu sana ..nliingia kitaa now naishi geto. jiko la gesi ndoo tatu na jiko la mkaa na kwa life la mbeya lilivo cheap kwa mambo ya msosi rahisi sana ....sema tu bado bufa.....kama RAIA wengi walivo pendekeza.....inshort maisha ya geto akili inatanuka
Hongera classmate, umejitahidi saanaah
 
Back
Top Bottom