Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
hahahaha hilo shuka maarufu Sana sema ya kitambo hata home lipo nadhani watu wengi wanayo Aisee maana ni popular Sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha hilo shuka maarufu Sana sema ya kitambo hata home lipo nadhani watu wengi wanayo Aisee maana ni popular Sana!
We mwanamke una roho yangu asee, kila nkiona comment yako kuna ktu huwa nafikiria[emoji12] hebu njoo pm au twende kule kwny memes kwa babuTupieni na picha[emoji851]
Tumalizie basiMiaka Ile AHM akiwa kashika usukani nilihama kutoka kwa mzee nikahamia kwangu. Nilikua na kitanda, godoro, shuka mbili, neti, jiko la mchina, sufuria tatu, ndoo mbili moja kuogea, moja maji ya kunywa, kabati sahani kijiko na kikombe.
Nyumba za kiswahili korido Kati chumba tatu kulia tatu kushoto. Mbele Baraza uani vyoo bafu jiko.
Nimehamia tu sijakaa sawa binti wa mwenye nyumba kanifuata bombani nikichukua maji nikaoge na kuniambia
KAKA USIFUNGE MLANGO USIKU NITAKUJA . Aroo sijatongoza hata jina sijamuuliza.
Kweli bwana kwenye saa sita nasikia mlango unasukumba na mtu huyu ndani ya neti Tena amenyoa.....
Duh. Kumbe tuna mabilionea humuTumalizie basi
Kipind hcho ukiwa nalo unaona uko updated atarhahahaha hilo shuka maarufu Sana sema ya kitambo hata home lipo nadhani watu wengi wanayo Aisee maana ni popular Sana!
Na ukisubiri mpaka upate hiko kipato utachelewa pia,binafsi naamini sana katika kujilipua. Jilipue tu huko kitaa kapange, tena kapange mbali kabisa na home,ikibidi hama mkoa kabisa,hayo mengine yatafahamika mbele ya safari.Kiukweli bila kuwa na kipato chochote maisha ya ghetto mmh! Utakula nini, bills je? Lazima kupambana
Uko sahihi,ukiwaza sijui nitaishije hutoboi leo wala kesho,jilipue tu itafahamika huko mbele ya safari.Ukiwaza hivi hutoboi....na mawazo haya yanakuja ukiwa hom..ila nenda geto uone utakavyojua kusaka hela...
Achana na Mkoa, Watu tulihama nchi kabisa ili kukwepa kurudisha mpira kwa kipaNa ukisubiri mpaka upate hiko kipato utachelewa pia,binafsi naamini sana katika kujilipua. Jilipue tu huko kitaa kapange, tena kapange mbali kabisa na home,ikibidi hama mkoa kabisa,hayo mengine yatafahamika mbele ya safari.
Kabisa mkuu..na kuna mda utashangaaa ume unlock vitu kibao ulivyo kua navyo lakin hukua unavijua before...ogopa sana ugali wa bure[emoji3]Uko sahihi,ukiwaza sijui nitaishije hutoboi leo wala kesho,jilipue tu itafahamika huko mbele ya safari.
Naamini huwezi kubali kufa njaa wakati una nguvu,akili,maarifa au ujuzi wa vitu mbalimbali.
Fanya lolote halali siku ipite then ukishiba ndipo ujipange upya.
Nakubaliana na wewe [emoji817]Achana na Mkoa, Watu tulihama nchi kabisa ili kukwepa kurudisha mpira kwa kipa
[emoji28]Kabisa yani kuna vitu unaweza ukahisi haviwezekani ila ukiingia kitaa utaona namna ambavyo hakuna kitu kinachoshindikana.Kabisa mkuu..na kuna mda utashangaaa ume unlock vitu kibao ulivyo kua navyo lakin hukua unavijua before...ogopa sana ugali wa bure[emoji3]
Nipo ghetto tayari! Na nilimaanisha hapo ghetto huwezi kubweteka lazima upambane kutafuta pesaUkiwaza hivi hutoboi....na mawazo haya yanakuja ukiwa hom..ila nenda geto uone utakavyojua kusaka hela...
Umeumaliza yote mkuu,Safi Sana.Ukiwaza hivi hutoboi....na mawazo haya yanakuja ukiwa hom..ila nenda geto uone utakavyojua kusaka hela...
Mkoa gan huo na sehemu gan chumba na sebure ni 50000?Nashukuru mishe zinaendelea nimehama single room nimechukua chumba na sebule nimeongeza sofa na tv na meza ya TV nalipia 50 kwa mwezi.
Sio kinyonge shemeji yenu akija anakula mayai ya kuku wa kienyeji tu.
Ila Badoo vitu vingi Sina niendelea kujipanga.
View attachment 1939615View attachment 1939614
Trust the process mkuu,Wengi tulianza na godoro tu ila baadae mambo yakanyooka.Wenye stoo tuna coment wapiView attachment 1969123
Niko mkoa wa Njombe mji wa MakambakoMkoa gan huo na sehemu gan chumba na sebure ni 50000?