Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Tunafyatua tuu
20220119_215915.jpg
 
Pacha unabania watu riziki...sasa mimi nakukaribisha wewe uje upajue kwa pacha ako
Oooooooh pacha hivi ulipotelea wapi jomoneee? [emoji7][emoji7][emoji7]
Unajua naku mic had naumwaa?plz weekend hii nataka nije ghetton kwako kutazama series ya Kombolela. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Good mzee, Mambo huanza hivyo. Hata hivyo umeanzia vzr mwamba, ghetto liko poa lina marumaru hope na ceiling board ipo.
Kwa mwanzoni ongeza sabufa mkuu, na TV ili usiwe mpweke sana. Ukikaa alone unakua hauboreki Sana, si unajua Kuna time unakuta unapenda kua alone ghetto bila bugudha za watu huko nje.
IMG_20220119_232128_068.jpg
 
Good mzee, Mambo huanza hivyo. Hata hivyo umeanzia vzr mwamba, ghetto liko poa lina marumaru hope na ceiling board ipo.
Kwa mwanzoni ongeza sabufa mkuu, na TV ili usiwe mpweke sana. Ukikaa alone unakua hauboreki Sana, si unajua Kuna time unakuta unapenda kua alone ghetto bila bugudha za watu huko nje.View attachment 2088967
Tv sabufa vipo kasoro kitanda tu
 
Aaaah mywangu [mention]mawardat [/mention] asione hi utaniiibiaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Keep it up boss
 
Kuna vtu vingne sio vya kuuliza hapa asee unajichoresha kwamba ww n mgeni wa hili jiji. Yaan unashndwa hata kusimama hapo ktuoni ukamuuliza mtu yyte gari za DIT. sasa kwa dzaini hii utapaweza DIT kweli?? Maana CAT 1 tu unapewa website afu unaambiwa utafute source code. Sasa kama unashndwa hata kutambua gari za DIT, je would u be able to find source code??
Mkuu....kwani mtu kuwa mgeni sehemu yoyote ni dhambi?.....kila mtu alikuwa mgeni au mshamba siku ya kwanza....afu kingine, usimu underrate mtu kiasi hiki....Hatujuani ila naona arrogance ya kupitiliza kwenye mwandiko wqko....BADILIKA mkuu.....Ndio maanq kuna jukwaa hili mtu anauliza na kujibiwa kile anahitaji kufahamu....
 
Oooooooh pacha hivi ulipotelea wapi jomoneee? [emoji7][emoji7][emoji7]
Unajua naku mic had naumwaa?plz weekend hii nataka nije ghetton kwako kutazama series ya Kombolela. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😃😃😃 nipo Pacha...sema majukumu na harakati ni nyingi....Maisha yapo kasi sana....Ukinimiss sana kama hivi mwenyewe najikuta nakumiss mara mia....njoo PM nikuelekeze njia 😀
 
Back
Top Bottom