Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

kipind nmeanza kukaa getto kuna siku dingi alikuja kunicheki (nilikuw naumwa) alikuta nalalia mkeka na shuka moja ya kimasai.

nilikaa nae kama masaa manne akaniaga anaenda sokoni wakati anarudi nikasikia mlio wa pkpk kutoka nje namuona anashusha godoro 5x6 alafu nene kichiz akanipa kisha akaaga anarudi nyumbani maana muda wa magari ulikuw umeenda.

haikuchukua ata week nililiuza nikaongezea kwenye biashara nikaendelea kulalia mkeka.

sasa kuna siku alikuja town akaomba aache mizigo yake kwangu aisee ..............

ila haya maisha
Hahaahh
 
Back
Top Bottom