Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si mliyaitaje sijui wew na mwenzio
Sip mie ni cocastic

Hili umelipenda?
FB_IMG_16462867760955288.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe sio pc zote zina support games fulani? So mfn kwa mm ninae taka, kuwa na games za pc , una ni advace vipi? ila games za fifa sipo interested nazo
Mkuu inakubidi utafute PC yenye specifications kubwa na hapa mostly
-Dedicated Graphic card hasa NVIDIA
-Processor yenye nguvu mfan intel Gen 5 core 7
- Vingine mfano hard disk unaweza tafuta kubwa na yenye kasi mfano SSD baad ya kununua machine
In short
PC Maalum kwa games "PC Gaming Machine" ni kazi kuikuta fully, au ukiikuta bei inaweza fika 1m
So take time ujifunze kabla ujanunua usije pigwa hela.
 
Hio e-football n nini mkuu? Make sio expert sana ila kwenye kucheza ndio niko vizuri sana
 
Back
Top Bottom