Alafu kijana mwenye "nguvu umekamilika" nasema mapema jitambue umri kuanzia 18-29 unatakiwa ukae Getto, 30-37 ukae kuanzia master, sebule na jiko, 38 na kuendelea uwe unaishi Master, Chumba, Jiko na Sebule. au uishi ktk Nyumba nzima pekeako iwe umejenga au umepanga. Sasa unakuta mtu mzima 30+ upo umejibana na chumba kimoja kama mwanafunz. Haileti heshima na unaonekana huna akili. Hata wanawake wana wakimbia kwasabab akija kwako anaona huyu mtu mbona anaishi kama mwanafunz. Hata ndugu zako wanakukwepa wanajua huna akili.