Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Alafu kijana mwenye "nguvu umekamilika" nasema mapema jitambue umri kuanzia 18-29 unatakiwa ukae Getto, 30-37 ukae kuanzia master, sebule na jiko, 38 na kuendelea uwe unaishi Master, Chumba, Jiko na Sebule. au uishi ktk Nyumba nzima pekeako iwe umejenga au umepanga. Sasa unakuta mtu mzima 30+ upo umejibana na chumba kimoja kama mwanafunz. Haileti heshima na unaonekana huna akili. Hata wanawake wana wakimbia kwasabab akija kwako anaona huyu mtu mbona anaishi kama mwanafunz. Hata ndugu zako wanakukwepa wanajua huna akili.
 
Ukifika mpaka 250
Unaweza kufika 350 ya nchi 32 ‘ kama upo dar.. ila hisense kwa bei hiyo hupati
Sure ajitahidi achukue nchi 32, mm nilinunua kwa 370k mkoni lkn sio dar, Kama yupo dar itakua chini zaidi.
 
Alafu kijana mwenye "nguvu umekamilika" nasema mapema jitambue umri kuanzia 18-29 unatakiwa ukae Getto, 30-37 ukae kuanzia master, sebule na jiko, 38 na kuendelea uwe unaishi Master, Chumba, Jiko na Sebule. au uishi ktk Nyumba nzima pekeako iwe umejenga au umepanga. Sasa unakuta mtu mzima 30+ upo umejibana na chumba kimoja kama mwanafunz. Haileti heshima na unaonekana huna akili. Hata wanawake wana wakimbia kwasabab akija kwako anaona huyu mtu mbona anaishi kama mwanafunz. Hata ndugu zako wanakukwepa wanajua huna akili.
Words [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Ladbba unambie call of duty,ghost .bad company,battlefield1,2,3,4, Maza vita mi ndo mpenz mkuj
Uko kama mimi napenda sana movies za vita hasa WW2. Kuna kama hizi-:
Enemy at the Gates.
Sniper
Desert commandos
Hell in Normandy
In glorious bastards
A bridge too far.
The Fury(Brad Pitt)
A woman in Berlin
The Road to Berlin
The Bunker
The battle of England
Saving Private Ryan
Then there were three.
They fought for their country.
The plot of killing Adolf Hitler.

Ziko nyingi sana ila hizi ni baadhi kama utapenda naweza kukuwekea nyingine.
 
Ghetto Kwa cocastic 😂😂😂😂
FB250313-DEBF-45A6-9E10-24040E9A48BE.jpeg
 
Back
Top Bottom