Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Nyanya nyingi na mafuta mengi ndiyo fresh mboga inakuwa rosti mchuzi mzito ni mzuri zaidi kuliko mchuzi wa mimaji mimaji
Mapishi sio wingi wa nyanya au mafuta. Hata bila mafuta Mboga inakuwa nzuri.
Pia vitu kama unga wa karanga/tetere au starch ya muhogo inatoa rost nzito na tamu na ni asilia kuliko kujaza mafuta.
 
Wanangu samahani
Hivi kukaa geto na demu vipi?? Imekaaje??
Kwenye suala zima la utafutaji??

Yani kabla ya ndoa unaamua kukaa geto na demu

Ushauri wazeee wa kazi
Sikushauri sana labda wa kwako anajielewa, Mimi nilifanya hivo Dem alizingua kumchana ukwel, natoka job nakuta room mbili zote empty kakomba kila kitu hakuna alichoacha
 
Wazee wa ghetto inakuajee….. muwe mnapika wazee acheni kwenda migahawani, kula mgahawani sio ishu maana wale dada ntilie ni washenzi sana….

Maji waliyofulia chupi ndiyo yanapikiwa wali mzee na chai pia ili wateje mje wa kutosha….. Hii niliwahi kuishuhudia mahali (sijasema mama ntilie, ni dada ntilie ndiyo wana visanga hivyo).

Leo kamanda wenu nimepika wali changanya na mayai ya nyanya na kachumbari moja saaaaafi kabisa. Utadhani niko hotel verde kumbe ni ghetto tu[emoji3]
IMG_0469.jpg

Kwa dada ntilie huikuti hii menyu mzee so muwe mnapika wajuba au vipi!!!!!!
 
View attachment 2363601

Kwa dada ntilie huikuti hii menyu mzee so muwe mnapika wajuba au vipi!!!!!!
Kuna mmoja kabla hajaenda mgahawani anaenda kuchamba,yale maji aliyochambia anayabeba na kwenda kupikia, mganga alimwambia awe anafanya hivyo hili biashara/chakula kiuzike,

Hii true story kaniathia muhusika kwasasa kaacha hii kazi ya kuuza chakula,

Lkn kiukweli vyakula vya mabandani ni vichafu,tunalishwa uchafu haswaaaa,
 
Mbinguni watakaoenda ni watoto na watu wachache Sana aisee
 
Wanangu samahani
Hivi kukaa geto na demu vipi?? Imekaaje??
Kwenye suala zima la utafutaji??

Yani kabla ya ndoa unaamua kukaa geto na demu

Ushauri wazeee wa kazi
Kama demu anaeleweka, basi utafanya mengi ya maendeleo ndani ya muda mfupi.

Nilivyoamuaga kupanga, soon nikaanza kuishi na mwanamke. Nilikuwa nikipata 300k, yeye nampa 250k, alaf namwambia hii ndio ipo, utaplan ufanyie Nini, lakini utakachofanyia naomba uniambie.

Nilinotice mle ndani vitu vikaanza kuongezeka mdogo mdogo, mara vyombo, sufuria, rice cooker, pressure cooker etc. Kuna kipindi nikamwambia nataka tuanze kudunduliza tununue Tv na king'amuzi. Budget yangu kwenye Tv ilikuwa 400k kwa inch 32. Hiyo siku nikampa 200k, aitunze ili next month nijazie ikamilike na king'amuzi, hakupokea Ile hela, akaniambia subiria, akaenda kupekua pekua kwenye nguo zake akanja na 700k (kumbe alikuwa anawekaga akiba), plus Ile 200k tukawa na 900k, akaniambia kanunue Tv kubwa, next month ndo tutabuy king'amuzi. I was surprised, sikuexpect that.

After that day, kuna siku tunachek tamthilia after kula, akaniambia Kodi hii ikiisha, tukalipia tena itakuwa mara ya mwisho kukaa hapa, inabidi tuhamie sehem yenye chumba na sebule. Nikamuuliza tutaweza kumudu gharama za chumba na sebule? Akanijibu Kila kitu kinawezekena tukijipanga, ndio maana nimekushirikisha mapema. Na kweli, after a while, tukahamia sehemu nyingine.

Hata ikitokea mishe zimekuwa tight kiasi gani, kahela kadogo ninakokapata huwa namkabidhi yeye asimamie matumizi yake, kwa upande wangu Niko very careless na hela, uwepo wake umenifanya ni accomplish vitu vingi ndani ya muda mchache, ambavyo peke yangu nisingeweza maana Hela yangu nyingi ilikuwa inapotelea kwa muhindi (betting).

Sina mchongo wa maana hapa Mjini, lakini friji Iko full, mchele, unga na mboga mboga zipo, kiasi kwamba hata nikisota mwezi, tunauhakika wa kula na kulala sehemu nzuri. Washkaji zangu wakijaga kunitembelea huwaga hawaamini wanachokiona.

So, back to the topic mkuu Secret ID kama huyo manzi anaeleweka, jilipue tu, haya maisha tunayoishi Kila kitu tunachofanya ni tunabet, results zitajishow mbeleni.
 
Legendary Analyse, nikikuta comment yako mahala, huwa natuliza kichwa kuchukua madini. Most of the times kunakuaga na fasihi yenye ujumbe mzito.

Mabachela tutazingatia hili.
 
Kaka nashukuru Sana!
Nyie ndio binadamu wachache mliobaki ili kushauri wengine! Bro natembea na maneno yako konki!
Thanks for caring [emoji120][emoji120]
 
Dah unyama sana bro huyo manzi yako ni smart sana msalimie
 
Back
Top Bottom