off-sir
Member
- Dec 21, 2019
- 65
- 56
si ushasema Goba mkuu!Sehem Gani nyingine naweza kupata masterroom kwa bei ya 50/60
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
si ushasema Goba mkuu!Sehem Gani nyingine naweza kupata masterroom kwa bei ya 50/60
Kuna mtu alinambia asilimia kubwa gas inaisha usiku 🤣Nmenunua nyama hapo
Ile nafika home kuwasha gasi ikalia bwiiiiiiiiisuuu
Aah kmenibidi nijaribu maisha ya homeView attachment 2369173
Kila lakheri mkuu [emoji119]Mambo yameenda kasi sana mkuu, ni jana tu nimefanya kama hivyo ulivyosema na nimeshapata getto na kulipia miezi 5, kwa sasa nípo mkoani ila nimeshapata pa kufikia mwezi ujao wa kumi.
Shukran kwa uzi bora mkuu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi fikiria kumzingua mkuu.Nmesoma mala 3 nzima
Mkuu kwa namna yoyote ile usijaribu kumfanyia vimbwanga huyo mwanamke
USIJARIBU KABISA...
Mungu amekupa njia ya mafanikio
Shida yetu n kua tukitoboa tunaanza kuwazingua nao wanabadilika
Then jamii inamuhukumu yeye pekeake
Ifm unabidi kupanga kigamboni so kule magetho Yana range Kati ya 40/50/60+Mimi ndo naenda kuanza maisha sasa natoka mbeya naingia dsm kusoma IFM sasa nawaza maisha naenda kuyaanzaje maana hostel gharama zake naona ni kubwa tofaut na kupanga bei ya chumba cjui ntapata cha shingap maana uchum nao hauko stable ani hamna kipind nna mawazo kama hiki kwaio mwenye uzoef kidg anijuze huu uzi nimeanza nao toka juu ila kuna vitu nimejifunza ikiwa tyr ntapata getto tatzo lipo hapa mwanzon an
Inategemeana,kuna wengine ukiishi nao mambo yanakunyookea wengine wana nuksi zao huko. Pia akili ya huyo unaeishi nae ikoje, kuna mwingine ukimuachia buku 2 basi utakuta msosi,ila mwingine ukimuachia buku 5 utakuta kanunua chipsi yai na juice kama anakusubiri urudi.Wanangu samahani
Hivi kukaa geto na demu vipi?? Imekaaje??
Kwenye suala zima la utafutaji??
Yani kabla ya ndoa unaamua kukaa geto na demu
Ushauri wazeee wa kazi
Hapo huyo samaki bila kumla na ugali naona kama namuonea au matumizi mabaya ya mboga.
Hapa mtindi tu umekosekanaHapo huyo samaki bila kumla na ugali naona kama namuonea au matumizi mabaya ya mboga.
Mazoea tuu.
Mazoea tu.Hapo huyo samaki bila kumla na ugali naona kama namuonea au matumizi mabaya ya mboga.
Mazoea tuu.
Swali linasema "seheme Gani nyingine" means tofaut na gobasi ushasema Goba mkuu!
Hiyo flash ni nzima?Nauliza Nina smart tv nikitaka kutumia flash inakataa kusoma tatizo litakuwa nini?
Ni nzima mpya na nimeingiza movies na AudioHiyo flash ni nzima?
Angalia hyo flash ipo kweny format gani? Vifaa vingi vina support fat32, chakufanya format hyo flash Kweny computer, Kweny option ya format option, chagua fat32 kisha format, then copy vitu vyako chomeka Kweny tv uoneNauliza Nina smart tv nikitaka kutumia flash inakataa kusoma tatizo litakuwa nini?
Maisha yapo juu Bora niwe na kula hotelini.[emoji846]ukiwa na time getto unapikazako
Cc mapazia [mention]cocastic [/mention]
Always mwanamke mwanzo anaonyesha real love na nilikosea kumuamini na sio kwamba Sina details zake, ninazo niliamua kukaza kiume nipate funzo, sahivi simwamini mwanamke zaidi ya MAMA mzazi.Sasa mkuu unaishi na demu hujui anafanya kazi wapi Ndungu zake wanaishi wapi na rafiki zake kweli inawezekana?
Inategemea kama ndo unaanza mi naona bora kula kwa mama ntilie wakat unaanza kununua mfn mafut kdg kdgara sufuria na mazaga mengne ya kupkia mixer viungo ila ukidanya kwa sku moja unaweza kuta imekata ata 10k kwa sku mojaWakuu wa kukaa geto kimasihara,kupika mwenyewe na kula kwenye migawaha ipi Bora?