Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Mambo yameenda kasi sana mkuu, ni jana tu nimefanya kama hivyo ulivyosema na nimeshapata getto na kulipia miezi 5, kwa sasa nípo mkoani ila nimeshapata pa kufikia mwezi ujao wa kumi.
Shukran kwa uzi bora mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila lakheri mkuu [emoji119]
 
Nmesoma mala 3 nzima

Mkuu kwa namna yoyote ile usijaribu kumfanyia vimbwanga huyo mwanamke
USIJARIBU KABISA...
Mungu amekupa njia ya mafanikio
Shida yetu n kua tukitoboa tunaanza kuwazingua nao wanabadilika
Then jamii inamuhukumu yeye pekeake
Sijawahi fikiria kumzingua mkuu.
 
Mimi ndo naenda kuanza maisha sasa natoka mbeya naingia dsm kusoma IFM sasa nawaza maisha naenda kuyaanzaje maana hostel gharama zake naona ni kubwa tofaut na kupanga bei ya chumba cjui ntapata cha shingap maana uchum nao hauko stable ani hamna kipind nna mawazo kama hiki kwaio mwenye uzoef kidg anijuze huu uzi nimeanza nao toka juu ila kuna vitu nimejifunza ikiwa tyr ntapata getto tatzo lipo hapa mwanzon an
Ifm unabidi kupanga kigamboni so kule magetho Yana range Kati ya 40/50/60+
 
Wanangu samahani
Hivi kukaa geto na demu vipi?? Imekaaje??
Kwenye suala zima la utafutaji??

Yani kabla ya ndoa unaamua kukaa geto na demu

Ushauri wazeee wa kazi
Inategemeana,kuna wengine ukiishi nao mambo yanakunyookea wengine wana nuksi zao huko. Pia akili ya huyo unaeishi nae ikoje, kuna mwingine ukimuachia buku 2 basi utakuta msosi,ila mwingine ukimuachia buku 5 utakuta kanunua chipsi yai na juice kama anakusubiri urudi.
 
Nauliza Nina smart tv nikitaka kutumia flash inakataa kusoma tatizo litakuwa nini?
Angalia hyo flash ipo kweny format gani? Vifaa vingi vina support fat32, chakufanya format hyo flash Kweny computer, Kweny option ya format option, chagua fat32 kisha format, then copy vitu vyako chomeka Kweny tv uone
 
[emoji846]ukiwa na time getto unapikazako
Cc mapazia [mention]cocastic [/mention]
 

Attachments

  • IMG_8064.jpg
    IMG_8064.jpg
    276.2 KB · Views: 44
Sasa mkuu unaishi na demu hujui anafanya kazi wapi Ndungu zake wanaishi wapi na rafiki zake kweli inawezekana?
Always mwanamke mwanzo anaonyesha real love na nilikosea kumuamini na sio kwamba Sina details zake, ninazo niliamua kukaza kiume nipate funzo, sahivi simwamini mwanamke zaidi ya MAMA mzazi.
 
Wakuu wa kukaa geto kimasihara,kupika mwenyewe na kula kwenye migawaha ipi Bora?
Inategemea kama ndo unaanza mi naona bora kula kwa mama ntilie wakat unaanza kununua mfn mafut kdg kdgara sufuria na mazaga mengne ya kupkia mixer viungo ila ukidanya kwa sku moja unaweza kuta imekata ata 10k kwa sku moja
 
Back
Top Bottom