Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Wadau hii changamoto ya kufungiwa geti nyie hamkutani nayo!??..yan saa mbili tu tayari hawa mademu washalock geti,nimemind kichizi hawa mademu lakini hawaelewi,sasa hivi nimelala Kwa demu wangu ila pale gheto nimegonga sana geti,nimewapigia sana simu wanakaushia..hii nyumba mwezi wa 12 sitoboi lazima nihame

Kwanini usichonge funguo wako?
 
[emoji28][emoji28][emoji28]Chakula kidogo sana aisee

Mmh hiyo sufuri ni kubwa sana hicho chakula wanakula zaidi ya watu watano,...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama unakula hicho chote basi wewe utakuwa unachofanya ni kula tuu maishani..
Hicho chakula ni kingi kwa mtu mmoja!
 
Bachelor things 😂😂😂
10F02F6B-DEAC-4673-B5BA-AB7A62825945.jpeg
 
Hii kitu toka nlipotoka kupanga na mshkaji kilikua kinakera sometime wanae wanakuja kumuazma geto apge show na dem wake mi natoka misj nakuta geto kuna mtu afu hausk na hata kulipa umeme toka hap mpka leo nmepanga tena siwez muazma mshkaji geto aje kulala na dem wake hata iwe tunashibana vp apo atanisamehe juz kat kaja mwanangu et nimuazme geto yaan godor jipa shuka mpya kitanda kipya mi mwenyew sijawah hata kuingza demu afu yy aje ato()bee kwenye geto langu likamuangalia nkamchinjia bahrini toka sku hy hajaja geto kunitembelea kbsa mpka leo[emoji1787][emoji1787]
Hahahahaj wamekuwekea mijanaba yao mijasho kwenye mashuka na godoro lako.

Mi LAANA yao wanakuachia

Halafu utafua hayo mashuka na kondomu zao.

Kumbuka ni ghetto lako Hilo[emoji1]

Mimi siruhusu mwana kuchapia kwenye room yangu

Hata kulala tu kwangu siruhusu kabisa.

Mambo ya kujibanabana huwe sipendi
 
Mmh hiyo sufuri ni kubwa sana hicho chakula wanakula zaidi ya watu watano,...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama unakula hicho chote basi wewe utakuwa unachofanya ni kula tuu maishani..
Hicho chakula ni kingi kwa mtu mmoja!
Kuna jamaa flan enz izo ,walikua wanafuturisha bhas tukaend pale jion misos ming ming tu imewekw jamaa akaanz kukusany sahan Kam 7 ivi, Hii tukamuuliz wee vyot ivi unamaliz jamaa akasem "mbon vyakul vyenyew vidogo sna ,raia tukabak tunashangaa😅😅😅
 
Kumbe alikua anafanyag mashindan ya kula anakul chapati 8 za ujazo +supu
 
Back
Top Bottom