Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Kila siku harufu mpyaa dyadyaaa??

Nilikuaga na huo mtindo wa kufanya spray tofauti tofauti, siku hyo mtu akanambia wee utakua jini. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haaa kila siku hamna jamani
Kila week
 
Mousuf hiyo bei around 35k

Kuna body splash hapo, mad over you ‘nilinunua efu 45, ila unukiaji kawaida sanaa me naona ‘ingawa nishapata compliment yake
Hizo bei unaniogopesha...pafyumu gani nzuri na bei yake ipo affordable
 
Mousuf ni 35, kama upo Dar unaweza pata chini ya hapo au bei hiyo hiyo..

Blue for men 25

Zote nzurii
Nitaitafuta blue for men...japo hyo mousuf itakua inakaa sana kwenye nguo kuliko hyo nyingine
 
Back
Top Bottom