Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Ushabadili ?

Natamani yale ma sofa bed
Kila fundi nayekonektiwa nae ni bei nje ya umri 🤣 (1m, 850,
Fundi wangu wa vitu vingine akasema akipunguza sana mwisho mia6

Na wakati mavitanda nayaona istagram wanatangaza laki 2 na nusu 🥹
Kwenye kitanda kunahitaji umakini Sana wakuu..kitanda ndo gheto lenyewe
 
Kama upo Dar ukihitaji kitanda nicheki PM....njoo na picha ya Design unayoitaka na utatengenezewa design yoyote unayoitaka.

Furniture zetu ni bora hivyo zitakuondolea gharama za kununua mara kwa mara
 
Ushabadili ?

Natamani yale ma sofa bed
Kila fundi nayekonektiwa nae ni bei nje ya umri [emoji1787] (1m, 850,
Fundi wangu wa vitu vingine akasema akipunguza sana mwisho mia6

Na wakati mavitanda nayaona istagram wanatangaza laki 2 na nusu 🥹
Sijabadili,mie nilikuwa nataka bed sofa lkn nilivyotajiwa bei nikapita hiviii[emoji16],

Nikamchorea fundi anitengenezee cha mbao lkn sijaridhika nacho sivyo nilivyohitaji,

Nikikitizama napata hasira ya kukibadili hata miezi sita haijatimia,

Sema tu tatizo pesa[emoji16]
 
Sijabadili,mie nilikuwa nataka bed sofa lkn nilivyotajiwa bei nikapita hiviii[emoji16],

Nikamchorea fundi anitengenezee cha mbao lkn sijaridhika nacho sivyo nilivyohitaji,

Nikikitizama napata hasira ya kukibadili hata miezi sita haijatimia,

Sema tu tatizo pesa[emoji16]
😂😂😂 kitandike shuka nzuri na mito mingi kifiche hiyo kasoro unayoiona.


Sofa bed zinavutia
Kelsea atudorishie 🥰
 
Vile vibovu wanatumia mbao za hovyo na wana vipaka rangi ili kuficha aina ya mbao na wanauza kwa bei kubwa kwa machoni utaviona vizuri kumbe vibovu, tatizo la vijana wa sikuizi hawa jui aina za mbao kuna mbao ngumu na imara na kuna mbao ambazo zina shambuliwa na wadudu, kama una pesa nunua kitanda cha mbao za Mninga au mkongo hivi vitanda vina pakwa vanishi na havipakwi rangi, ukiona Kitanda kime pakwa rangi husinunue mbao yake ni mbovu.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Na vp kuhusu zile sofa bed ambazo huoni ubao zaid ya chaga? Utajuaje kama n fake au og wakat pande zote kimezungushiwa vitambaa?
 
Sasa sana Wanawake ndiyo wana pigwa sana, yani hawa jui haina ya mbao zilizo tengeneza kitanda wenyewe wakiona kitanda kimependeza wana nunua kwa bei kubwa bila kuangalia ubora

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Sasa watawezaje kutofautisha kitanda cha mninga/mkongo na ambacho sio? Ni nn utofaut wa mbao ya mninga na ambayo sio ya mninga kwa kuiangalia?
 
Si vitanda tu hata coaches mbao zinazotumika ni reject au zilizotumika kwenye ujenzi.
Godoro zinazotumika ni low quality, vitambaa ndo hovyo kabisa
Hizi pesa zenyewe ndo umeshika hiyo hiyo huna nyingine ununue kitanda na sofa alafu upigwe ni uchawi kurududishana nyuma.

Watu wawe makini Sana aisee kwenye furniture
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo ukuta vipi? Hata pluster imeshidkan? Vipi mwenye nyumbaa n mstaafu? Hela zimekataaaa?

Afu huko uswahilini sanaaaa eeeh. Fanya ukarabati afu ndo uweke vitu vyako vya thaman, sasa hapo utadhan store vimehifadhiwa kwa dharura. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi siishi Dar, Au maeneo yoyote ya mjini. Mimi nipo ndani ndani huku ambako hata hicho chumba unavyokiona ninan uhakika wa usingizi mnono mvua ikinyesha.
 
Back
Top Bottom